Tueleze Jk alikuwa huko hivi majuzi, vipi hao jirani zetu wa kisini wanamuongeleaje?... je nao wanafatilia siasa za kwetu kwa kiwango gani?
Kikwete alikuwa huku juzi alikuwa maputo, jana alikuwa pemba, amezungumza masuala ya amani huku akiviomba vyama vyote kukaa chini kwani vita sio vizuri, pia ametumia nafasi hiyo kuwaaga, lakini pia kuhusu kufuatilia siasa za tanzania wanafuatilia sana, chama kilichopo madarakani frelimo ni chama rafiki sana na ccm, kitu kinachopelekea wapinzani hasa dhlakama kuichukia sana tanzania kwani anadai hujuma nyingi tanzania inahusika na huyu jamaa anapendwa sana na wananchi, licha ya kuwa na jeshi la makomandoo mstuni
Mara nyingi naskia Tanzania iliwakomboa Msumbiji, sasa mbona bado naona kama wanatafuta ukombozi kila uchao.

Ccm inachokifanya tz ni sawa na kule.kwa ikizidiwa na upinzani ujue hata huko matokeo ni Yale yaleMara nyingi naskia Tanzania iliwakomboa Msumbiji, sasa mbona bado naona kama wanatafuta ukombozi kila uchao.