Kwa sababu visima vipo baharini serikali iangalie uwezekano wa kupitisha mabomba ya gas baharini yatokee lindi yaje Dar. Watu wa mtwara ambacho hawataki si bomba la gas kupita kwenye ardhi ya mtwara? Kwa sababu ukweli ni kwamba hiyo gas haikutengenezwa maeneo ya mtwara inatoka sehemu mbalimbali na maeneo mtwara kwa baharini ndipo ilipopata upenyo wa kuweza kutokea mahali panapoweza kufikika kirahisi ili tuweze ku-extract. Sasa fujo za nini?