Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 800
tumsamehe mshkaji,nimeshaedit kwa ajili yake.tunatofautiana uelewa
Ndio great thinker hao ndani ya JF?40per ndo nini
Ehee walipofuka macho na majimaji ya korosho..!Gesi imewafungua macho wanamtwara.
Tunduru nayo iko mkoa wa mtwara?
nasikia ccm wamepeleka mafuriko ili watu washindwe kuandamana
Nimepata taarifa muda si mrefu kwamba people are moving from Tunduru,Masasi,-Liwale,Nachingwea,Newala to Mtwara!...ili waandamane kesho kupinga gesi kuja mjini dar!.....na mabasi ya huko yameshusha bei kabisa like 40 percent...anybody from Mtwara?
hahahaha Gesi kwanza mafuriko baadae,juzi tumeogelea kwenye mafuriko hadi kufika kwa mkutano!
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi
Wapi Sizinga na The Big Show...
Ila kwa kuwa mkuu ameishasepa kwenda kule kwenye mahakama iliyotoa tuzo ya Dowans na atakutana na jamaa wa Total kuwaunganisha kibiashara na kijana wake, huku watu watapigika sana. Historia inaonesha akishasepa ndio polisi wanakosa uvumilivu
wapi The Big Show!!nimemiss updates jamani,au usharudi mjini?.....mtwara aluta continua
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi