Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa Kisiwani Pemba - Oktoba 03, 2015

Leo ni leo shamra shamra za kumpokea Lowassa kisiwani Pemba zimerindima hapa kisiwani nikiwa hapa katika viwanja vya chake chake Tibirinzi umma uliopo umevunja record ya Maalim Seif kweli Lowassa ni mtu wa watu.

Nitakuwa nanyi karibu zaidi kwa picha na matukio mengine, jua ni kali sana natafuta utulivu wa picha na kuapload.
Fanya hivyo mkuu hata picha za awali katika maandalizi ni tosha
 
Magufuli hawezi jana Manyara leo Zanzibar Duuuu hii inaitwa kupanda na kushuka kukaba na kushambulia
 
Namkubali sana Lowasa
Ana hekima
Ana busara
Ana maono
Ni msikivu
Ni mtu wa mikakati
Ni mtanashati
Lastly ni presidential material
 
Back
Top Bottom