kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Wakuu
Leo ndio siku iliyosubiriwa kwa hamu na wananchi wa Igunga kumpokea na kumsikiliza kiongozi huyu ambaye in kipenzi cha wapenda mabadiriko hivyo tuwe tayari kupokea updates mbalimbali za tukio hili kamanda wenu nipo tayari kuwawakilisha, karibuni sana.
Hii ni asubuhi wakati maandalizi yakifanyika
Kuna shairi hapa moja ya sentensi inasema
- Kaa chonjo magufuli Lowasa atakufungua
- Mwaka huu CCM mtakuwa wapinzani
- Ondoka pinda ondoka unasubili laana
Updates
Mh.Lowasa na viongozi wengine akiwemo na Mh.Mbowe wametua na Chopa mnamo saa 9.30 kwa wananchi kuupokea msafara huo kwa shangwe kubwa.
1. MC alimkaribisha kwanza Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga kuweza kutoa kero za Igunga ili Mh. Lowasa Rais Mtarajiwa aweze kujua matatizo ya wananchi wa jimbo la Igunga na ameeleza matatizo makuu manne
1. Ukosefu wa maji safi na salama
2. Ukosefu wa Ajira kwa vijana
3. Umasikini uliokithiri kwa wananchi na hili linatokana na serikali ya CCM kutowekeza katika kuwaendeleza na kuwajari wananchi wake na hasa katika kuwasaidia katika kilimo na ufugaji ambvyo ndio vitega uchumi vikubwa vya wananchi wa Igunga
4. Ukosefu wa chuo chochote Igunga ambacho kingeweza kuwasaidia kuwaendeleza kielimu pale vijana wanapomaliza elimu ya Sekondari na kuwasaidia kupata ajira au kujiajili.
2. Baada ya hapo amekaribishwa Mgombea ubunge wa jimbo jipya la manonga Ndugu Nguzo ili awasalimie wananchi, yeye aliongea maneno machache kama ifuatavyo.
- Mtu anayeishabikia CCM hana tofauti na Mnyapara aliyepo gerezani kwa wao wanajiona kama sio wafungwa huku haki zao za msingi hawazipati na ni hivyo hivyo kwa hao wanaoshabikia CCM kwani matatizo yote yabayoletwa na CCM nao pia yanawakabiri kama ukosefu wa huduma bora za kijamii na umasikini vyote na wao vinawakumba.
3. Mh. Mbowe.
Yeye ameweza kuwaambia wana Igunga kuwa CHADEMA na UKAWA wanatambua vema kuwa Igunga ndio kitovu cha mabadiriko ndani ya mkoa wa Tabora hivyo amewaomba wana igunga kumchagua Lowasa kama Rais wan chi hii na kuwapigia kura wagombea wote wa UKAWA ili mabadiriko tunayoyahitaji yatimie
Mh.Lowasa
Yeye kwanza kabisa amewashukuru wanachi wa Igunga kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano huo na cha msingi alichowasisitiza ni kuwa Maendeleo yao yapo mikoni mwao kwa kuweza kumpigia kura hapo Oct.25 ili aweze kuwa rais na kuyatatua matatizo yao kuringana na Ilani ya Uchaguzi inavyojieleza na yote matatizo yaliyoelezwa yanatatulika vizuri kwani Ilani ya UKAWA/CHADEMA imejikita katika kutatua matatizo hayo hivyo basi kama wanataka
Elimu Bora, maji safi na Salama, kuondokana na umasikini ikiwemo na huduma bora za kijamii ni vema wachukue hatua sahihi kumchagua na kuchagua wabunge na madiwani wote kutoka CHADEMA/ UKAWA
Mkutano ulimalizika saa 10.15 na Msafara kuelekea Nzega.