Yanayojiri kwenye interview ya UDOM

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Tangu saa 12 asbui watu walikuwa tayari kwenye viunga vya UDOM,,,,kwa bahat mbaya natumia mobile device(nimeshindwa ku-upload) photos lakini kuna umati mkubwa sana wa watuu,,,,,,naposema ni wengi i mean ni wengi sana,,,,,,kila mtu anaongea lake,,,,ingawa hiyo interview ilipaswa kuanza saa 2 asbuhi lakin imechelewa sana maana wahusika walichelewa kufika,,,,,,saa 3 kuna watu wameingia kama awamu ya kwanza na saa 5 wengine na saa 8 wengine,,,,,,kuna baadhi ya nafas zinataka watu kumi lakin waombaji wamefika ni zaid ya miatano,,,,,,,,
yeyote ambae yupo udom hapa eneo la social and humanities anaweza kuendelea kutoa ushuhuda.....kwa mimi navyooona suala la ajira ni JANGA
 
Kwa bahati mbaya huduma za chakula nazo ni za shida ,,,,cafteria nyingi hazijafunguliwa hapa chuoni,,,,,,,huduma ya haraka na uhakika kwa hapa ni ya CHOO tu
 
Nendeni kwa wajasi kule social madukani mtakuta jiwe kubwa pemben na kichaka, humo ndan wanauza msos, ila ni kitu motoo!.
 
Hahahaa, hzi ajira za kibongo upumbavu m2pu, nafasi kumi wanaitwa watu mia tano?!!!!.........huo ni u*enge2, tukiwaita vilaza watalalamika? Hizo nauli watawarudishia? Mbona kuna agencies nyingi tu za kuwasaidia kazi kama hiyo?
 
Kuita watu mia 5 kwa ajili ya nafasi kumi ni upumbavu, uzembe na kufuja mali ya umma bila kufumba macho. Watu wa hr wanachofanya ni kutafuta posho nyingi zaidi kwani zoezi la kusaili watu hao litachukua hadi siku tano na kama kila siku analipwa 20 elfu basi ana kilo nzima bado zile za kuchuma toka kwa wasaka kazi.
Nilitegemea chuo kama udom kikawa na utaratibu mzuri wa kufanya recuitment wakianza na suala la kufanya shortlisting, ngoja niwatukane kimoyomoyo watu wa utawala hapo udom kwani jana nilimuona paw mitaa hii
 
Sasa huo mtihani ndio balaa
kama kuna mtu kafanya atoe ushuhuda
 
Kuita watu mia 5 kwa ajili ya nafasi kumi ni upumbavu, uzembe na kufuja mali ya umma bila kufumba macho. Watu wa hr wanachofanya ni kutafuta posho nyingi zaidi kwani zoezi la kusaili watu hao litachukua hadi siku tano na kama kila siku analipwa 20 elfu basi ana kilo nzima bado zile za kuchuma toka kwa wasaka kazi.
Nilitegemea chuo kama udom kikawa na utaratibu mzuri wa kufanya recuitment wakianza na suala la kufanya shortlisting, ngoja niwatukane kimoyomoyo watu wa utawala hapo udom kwani jana nilimuona paw mitaa hii

mdau vijana hawana ajira kabisa watu wamefika hapa saa 10 alfajiri
 
Hahahaa, hzi ajira za kibongo upumbavu m2pu, nafasi kumi wanaitwa watu mia tano?!!!!.........huo ni u*enge2, tukiwaita vilaza watalalamika? Hizo nauli watawarudishia? Mbona kuna agencies nyingi tu za kuwasaidia kazi kama hiyo?

nawapongeza wale wasioenda kwenye interview,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom