Yanayojiri kwenye interview ya UDOM

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Tangu saa 12 asbui watu walikuwa tayari kwenye viunga vya UDOM,,,,kwa bahat mbaya natumia mobile device lakini kuna umati mkubwa sana wa watuu,,,,,,naposema ni wengi i mean ni wengi sana,,,,,,kila mtu anaongea lake,,,,ingawa hiyo interview ilipaswa kuanza saa 2 asbuhi lakin imechelewa sana maana wahusika walichelewa kufika,,,,,,saa 3 kuna watu wameingia kama awamu ya kwanza na saa 5 wengine na saa 8 wengine,,,,,,kuna baadhi ya nafas zinataka watu kumi lakin waombaji wamefika ni zaid ya miatano,,,,,,,,
yeyote ambae yupo udom hapa eneo la social and humanities anaweza kuendelea kutoa ushuhuda.....kwa mimi navyooona suala la ajira ni JANGA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom