Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,678
- 167,642
usishangae mamaaa ndo bongo zaidi ya uijuavyo.mara dar maro dom mmmmh
Chuo gani tena maana chuo kilicho karibu na hazina ni IFM na CBE kwa mbali, ukitoa chuo cha maagogoni ambacho sijawahi kusikia wamegoma? Au wale jamaa wa kigamboni wamevuka bahari?Inasemekana kuna wanafunzi wa chuo kimoja wapo... wapo maeneo ya hazina...
Nashukuru kwa taarifa mkuu. Hao wana viasili vya mgomo na walaa sishangai, tena najua litakuwa aidha boom au management? Jamani msiniulize kama nimekabidhiwa lini mikoba na marehemu sheikh Yahaya.Nasikia ni wanafunzi wa Muhimbili walikuwa wanaelekea Ikulu...
No... Ni kisiwa cha amani!nchi ina machafuko, hili liko bayana
True KWA MUJIBU WA HISTORIANo... Ni kisiwa cha amani!