kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Ni dakika chache zimebakia kwa Mkutano Mkubwa wa Dr. Slaa hapa Igunga katika kiwanja cha BARAFU, Watu wameishakusanyika kwa wingi kwa ajili ya Kumsikiliza Kiongozi huyu ambae yupo MIOYONI mwa watu wa rika zote. Nipo kama kawaida kwa ajili ya kuwaletea Updates na mapicha tuwe pamoja wakuu
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Wewe mwenyewe babu, sema babu ambaye ni mtupu kichwani! Mbabu mzima kama wewe unauliza masuali ya kijinga namna hii, hao wajukuu zako wana hasara
Usicheze na nguvu za babu. Akikuchukulia mkeo umekwisha.
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Usicheze na nguvu za babu. Akikuchukulia mkeo umekwisha.
Naomba kura yako, naenda kugombea ubunge Kigoma. Ushanifahamu?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?