figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Mkiwa na haraka ya kuanzisha mada, muwe na utamaduni wa kuweka updatesSasa ndo Anna Makinda anaingia kuongoza kikao cha 20 mkutano wa 15 bunge la 10. Hati za kuwasilishwa mezani ni makadilio ya bajeti ya wizara ya utamaduni na michezo pamoja na wizara ya nishati na madini kwa mwaka 2014-2015.
Kinachoendelea sasa ni maswali na majibu.
Karibuni twende pamoja. mia
Hii ni yetu sote so ni vizuri kusaidiana kuweka updates sababu si rahisi mtu kuwa online mwanzo hadi mwisho wa bunge. Ndo maana inawekwa ili tuchangie kwa pamoja kile mtu alichosikia kuliko kuacha tu. Vilevile hata wewe unaruhusiwa kuwa na haraka pia. miaMkiwa na haraka ya kuanzisha mada, muwe na utamaduni wa kuweka updates
Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini inawasilisha Bajeti yake Keshokutwa. Si leoLeo Muhongo atalazimika kutaja wabunge waliohongwa ili wakwamishe bajeti ya wizara yake.
Hahahahahaaaaa! Nimependa ulivyomaliziaHii ni yetu sote so ni vizuri kusaidiana kuweka updates sababu si rahisi mtu kuwa online mwanzo hadi mwisho wa bunge. Ndo maana inawekwa ili tuchangie kwa pamoja kile mtu alichosikia kuliko kuacha tu. Vilevile hata wewe unaruhusiwa kuwa na haraka pia. mia
Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini inawasilisha Bajeti yake Keshokutwa. Si leo