Yanayojiri bungeni leo Tarehe 28 May 2014 Katika bunge la bajeti

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,677
2,000
Sasa ndo Anna Makinda anaingia kuongoza kikao cha 20 mkutano wa 15 bunge la 10. Hati za kuwasilishwa mezani ni makadilio ya bajeti ya wizara ya utamaduni na michezo pamoja na wizara ya nishati na madini kwa mwaka 2014-2015.

Kinachoendelea sasa ni maswali na majibu.

Karibuni twende pamoja. mia
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,869

Mkiwa na haraka ya kuanzisha mada, muwe na utamaduni wa kuweka updates
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,677
2,000
Majadiliano ya wizara ya ardhi nyumba maendeleo na makazi. Sasa hivi anayesoma hotuba ya kamati ya mazingira ni Easter Bulaya, ameanza kwa kumpa pole Simbachawene George kwa kufiwa na baba yake mdogo. mia
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,677
2,000
Mkiwa na haraka ya kuanzisha mada, muwe na utamaduni wa kuweka updates
Hii ni yetu sote so ni vizuri kusaidiana kuweka updates sababu si rahisi mtu kuwa online mwanzo hadi mwisho wa bunge. Ndo maana inawekwa ili tuchangie kwa pamoja kile mtu alichosikia kuliko kuacha tu. Vilevile hata wewe unaruhusiwa kuwa na haraka pia. mia
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,869
2,000
Hii ni yetu sote so ni vizuri kusaidiana kuweka updates sababu si rahisi mtu kuwa online mwanzo hadi mwisho wa bunge. Ndo maana inawekwa ili tuchangie kwa pamoja kile mtu alichosikia kuliko kuacha tu. Vilevile hata wewe unaruhusiwa kuwa na haraka pia. mia
Hahahahahaaaaa! Nimependa ulivyomalizia
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,677
2,000
Sasa hivi Halima Mdee anasoma hotuba ya kambi ya upinzani Wizara ya ardhi na makazi. kazungumzia magorofa hatarishi ambayo yalitakiwa kubomolewa lakini hayabomolewi. anasema serikali inaenda nje ya nchi kutangaza ina ardhi kubwa so waje kuwekeza, kama kuna ardhi kwanini migogoro ya ardhi inazidi?. 86% inayofaa kwa kilimo haitumiki so ni bora kupanga matumizi bora ya ardhi. kazungumzia kigamboni kutokulipwa wala kuruhusiwa kufanya shughuli za maendeleo kwa miaka saba. kambi ya upinzani inataka kauli ya serikali. mia
 
Jo Tsoxo

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,022
1,500
Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini inawasilisha Bajeti yake Keshokutwa. Si leo

We mwongo. Randama imewasilishwa leo hivyo hotuba ya bajeti itawasilishwa kesho saa moja jioni baada ya bajeti ya wizara ya habari, michezo na utamaduni kupitishwa.
 
deepsea

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
3,292
1,500
naona mbunge wa kigamboni anaishukuru kamati na kambi ya upinzani kwa kuwatetea wananchi wa kigamboni
 
Arnold Ringo

Verified Member
Jan 23, 2014
2,319
1,170
Lizabon Anawaza Buku Saba Lumumba kwa hiyo Msameheni tu kwanza hayupo kwenye Tv yeye sasa hivi anaranda randa pale Lumumba ili apatiwe chake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom