Hapo ndipo unapothibitika ule msemo unaosema njia ya mwongo ni fupi....maswali na majibu siku zote tv zipo live startv tbc na azamtwo
Liko live kwa kipindi cha maswali na majibu au wizara zisizo na mambo nyetiJaman niko nacheki bunge startv sasa hivi. Na pale kwenye screen wameandika LIVE. Kama huamini fungua uangalie startv.
heeeeeeeeeeeeeeee tupishe nina bodaboda zangu kumi wanapiga pesa jioni mahesabu wacha tuangalie banaNyie watu hamna kaz za kufanya mnaangalia tv asubuh
Ni maswali na majibu tu,baada ya hapo wanakatilia mbali...Jaman niko nacheki bunge startv sasa hivi. Na pale kwenye screen wameandika LIVE. Kama huamini fungua uangalie startv.
Ndugu usikariri,kuna watu wanafanya kazi kwenye ofisi zao binafsi,wengine kwenye maduka....wana tv pale ofisini/dukani ....kwahiyo wakiwa wanasubiri wateja wanaendelea kuona kinachoendelea nchini.Labda kama wewe unafanya kazi ya mtu na hataki hata kukuta ukipokea simu,pole.Nyie watu hamna kaz za kufanya mnaangalia tv asubuh
wewe mbona upo humu? au unafanyia kazi huku??Nyie watu hamna kaz za kufanya mnaangalia tv asubuh
kama una chanel ya Tbc 2 hupitwi kitu, lakini sina hakika kama ni live kwa sababu hawajaandika popote kama live ama lah! hapa naangalia wizara ya afya huyu mama anamalizia hotuba yake!!!vipi bado lipo? au asubuhi tu maswali na majibu ?
Vipi nayo ni aina ya pool?Nyie watu hamna kaz za kufanya mnaangalia tv asubuh
Na mbona kuwa na tv maofisini siku hizi ni jambo la kawaida sanamimi ni mjasiliamali ndani ya ka duka kangu kuna tv.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakwani wamekuomba uwalipie kodi ya pango ?
wewe kama una kazi ya kufanya unafanya nini muda huu kwenye mitandao ya kijamii na una tofauti gani na anayeangalia TV. Lofa mkubwa wewe[/
QUOTE]
Hahaha aaaaaa! nimecheka sana.
According to Nape, kuangalia bunge ni sawa na kucheza pooltable muda wa kaziVipi nayo ni aina ya pool?
Nani kakuambiaWadau Naambiwa kwamba Star Bunge na TBC2 wako hewani sasa kutoka bungeni ni kweli..??
Sipo karibu na access ya TV