Dr Klinton
Senior Member
- Jan 21, 2012
- 123
- 152
kwani ilani ya ccm inasemaja kuhusu hilo barabara?
*Ee bana eeh!!!!
Nitasafiri kwa teksi kweli toka Mtwara hadi Mwanza kwa hali hii?
*Ngoja nimpigie simu mzee Pombe Magufuli!
Sio watu wa kusini mkuu, ni Watanzania kwa ujumla,ila watu wa kusini kiasi fulani wana hitilafu vichwani.
gesi
mafuta
korosho
ni vitu ambavyo ni most wanted duniani. lakini ukiyaona makazi yao na hali ya maisha wanayoishi huwezi kuamini ndio wanaoikumbatia ccm kama TABORA
kwani zile milioni 700 za Bush, si kuna ka percent kalitengwa kwa ujenzi wa hii barabara,, nilidhani by now kungekuwa na angalau harufu ya lami huko,kumbe bado tope tupu!