AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
Wanabodi habari,
kuna msemo mnyonge mnmyongeni haki yake mpeni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na mfuko wa hifadhi Zanzibar wanaboresha makazi ya raia wa hali ya chini kabisa huko fukweni Zanzibar.
Wanachokifanya wanaingia mikataba na wakazi wa maeneo hayo, mkataba huo unakuwa wa mwaka mmoja wa kuboresha makazi katika kiwanja chako ambapo panajengwa ghorofa la kisasa ambapo likisha kamilika unapewa hati yako.
Ambapo unaruhusiwa kuuza apartment yako kama utataka ila ghorofa za juu zitapangishwa na serikali kwa makubaliano ya kimaslahi na mwenye kiwanja.
Uzuri wa mradi huo wakazi wanaohamishwa wanalipwa milioni 5 za kodi ya nyumba, ambapo kodi wamekadiriwa laki 3 kwa mwezi wanalipwa kwa mkupuo zote gharama za usafiri plus gharama za usumbufu ambazo ndio zinaleta jumla ya hiyo milioni 5.
Mradi huo ambao utakuwa wa awamu utajekwa kwa hatua ambapo wanasema mpaka ukamilike utagharimu Bilioni 200 hivi na utaanza na nyumba 51 yani huko Zanzibar watu wa Fukweni wanafurahia hatari.
Tisa kumi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuona janja janja ya wakandarasi wa China wameamua kununua magari ya kutengeneza Barbara na madaraja kwa pesa zao na wataanza kutumia wataalamu wazawa wa serikali katika ujenzi wa miradi ya Barbara . Hii inaonyesha kuna vitu serikali ikiamua kufanya inawezekana kabisa.
I wonder why huku bara pamoja na kwamba Zanzibar ni ndogo kulinganisha na Tanzania bara kuanzia watu na kila kitu but why hakuna hata uthubutu wa sisi huku serikali yetu kufanya miradi inayomgusa mwananchi moja kwa moja.
Zaidi wanatufanyia miradi mingi hewa ambayo kimsingi itachukua muda mwingi kuja kugusa maisha ya raia wengi moja kwa moja.Kuna haja ya Tanzania bara kwenda kujifunza namna ya kuhudumia wananchi huku Zanzibar.