Yanayoendelea kati ya Israel na Hezbollah

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Baada ya Israel kuwaua wanamapambano wa Lebanon sita sasa Hezbollah wamejibu kipigo na kushambulia wanajeshi wa israel.

Wanajeshi 18 wa Israel wameangamizwa na Hezbollah huku Israel ikidanganya kuwa ni wanajeshi wake wawili tu waliouawa.

Hii Imedhirisha Wazi Kuwa Na Jinsi Gani Wanamapambano Wa Hezbollah Wanaweza Kukabiliana Na Israel Bila Uoga
Size Ya Israel Ni Hamas Na Siyo Hezbollah.

Weledi Wa Mambo Wanasema Endapo Israel Itaanzisha Mashambulizi Huko Lebanon,huenda Wakapigwa Vibaya Na Hezbollah.

Ikumbukwe Kuwa Mwaka 2006 Israel Ilianzisha Mashambulizi Dhidi Ya Hezbollah Vita Vilovyodumu Kwa Siku 22 Ambapo Hezbullah Ilipata Ushindi Mkubwa Na Kuifanya Israel Kupata Kipigo Aibu Na Fedheha Hadi Baadhi Ya Viongozi Wa Israel Kujiuzulu.
 
Nliskia dw wakisema ni wanajeshi 2!!! Kumbe ni 18 ?? Netanyahu kazi anayo!!
 
Acha uongo lete sorce ya habari yako si kujifurahisha hapa waliokufa ni 2 wala si 18 kama unavyosema labda umewaua wewe.
 
Mnaodai source ya habari hii hapa

Spika wa Bunge la Lebanon ameunga mkono operesheni kamambe iliyofanywa mapema leo na wapiganaji wa Hizbullah dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Israel katika eneo la mashamba ya Shab'aa kusini mwa Lebanon.

Spika Nabih Berri ameyasema hayo leo bungeni na kusisitiza kwamba operesheni hiyo imefanywa katika eneo linaloendelea kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu. Wakati huohuo, vyombo vya habari vya Lebanon vimethibitisha kwamba wapiganaji wa Hizbullah wamemkamata mateka mwanajeshi mmoja wa Israel kwenye operesheni hiyo.

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amedai kwamba, jeshi la utawala huo litajibu mashambuilizi ya Hizbullah. Ripoti kutoka Israel zinaeleza kuwa, viwanja viwili vya ndege vimefungwa na walowezi wa Kizayuni wanaokaa kwenye ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wameingiwa na hofu na wahka wa kulengwa na mashambulio ya makombora ya Hizbullah.

Operesheni iliyofanywa mapema leo imewaangamiza wanajeshi 17 wa Israel, baada ya wanamgambo wa Hizbullah kurusha kombora moja lililolenga vikundi kadhaa vya wanajeshi vamizi wa Israel kwenye mashamba ya Shab'aa.

Hivi karibuni, helikopta ya Israel ilishambulia eneo la Quneitra nchini Syria na kuua shahidi wanachama sita wa Hizbullah akiwemo kamanda mmoja wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ‘SEPAH'. Wakati huo Katibu Mkuu wa Hizbullah Sayyid Hassan Nasrullah aliahidi kujibu jinai hiyo kwa kipigo kiumizacho.

Chanzo: http://kiswahili.irib.ir/habari/mas...h-yapongezwa-kwa-oparesheni-dhidi-ya-wazayuni
 
baada ya israel kuwaua wanamapambano wa lebanon sita sasa hzbullah wamejibu kipigo na kushambulia wanajeshi wa israel
Wanajeshi 18 wa israel wameangamizwa na hzbullah huku israel ikidanganya kuwa ni wanajeshi wake wawili tu waliouawa
Hii Imedhirisha Wazi Kuwa Na Jinsi Gani Wanamapambano Wa Hzbullah Wanaweza Kukabiliana Na Israel Bila Uoga
Size Ya Israel Ni Hamas Na Siyo Hzbullah Weledi Wa Mambo Wanasema
Endapo Israel Itaanzisha Mashambulizi Huko Lebanon,huenda Wakapigwa Vibaya Na Hzbullah
Ikumbukwe Kuwa Mwaka 2006 Israel Ilianzisha Mashambulizi Dhidi Ya Hzbullah Vita Vilovyodumu Kwa Siku 22 Ambapo Hzbullah Ilipata Ushindi Mkubwa Na Kuifanya Israel Kupata Kipigo Aibu Na Fedheha Hadi Baadhi Ya Viongozi Wa Israel Kujiuzulu

Ebu fafanua ushindi ulikuwaje ?
 
endelea kujidanganya....kikundi kidogo cha hzbollah akiwez kupambana na taifa la israel. Hzo ni ndoto za mchana ndugu, futa uzi wako mana watu watakushangaa.
 
baada ya israel kuwaua wanamapambano wa lebanon sita sasa hzbullah wamejibu kipigo na kushambulia wanajeshi wa israel
Wanajeshi 18 wa israel wameangamizwa na hzbullah huku israel ikidanganya kuwa ni wanajeshi wake wawili tu waliouawa
Hii Imedhirisha Wazi Kuwa Na Jinsi Gani Wanamapambano Wa Hzbullah Wanaweza Kukabiliana Na Israel Bila Uoga
Size Ya Israel Ni Hamas Na Siyo Hzbullah Weledi Wa Mambo Wanasema
Endapo Israel Itaanzisha Mashambulizi Huko Lebanon,huenda Wakapigwa Vibaya Na Hzbullah
Ikumbukwe Kuwa Mwaka 2006 Israel Ilianzisha Mashambulizi Dhidi Ya Hzbullah Vita Vilovyodumu Kwa Siku 22 Ambapo Hzbullah Ilipata Ushindi Mkubwa Na Kuifanya Israel Kupata Kipigo Aibu Na Fedheha Hadi Baadhi Ya Viongozi Wa Israel Kujiuzulu

Mkuu una hakika kuwa wanajeshi 18 wameangamizwa?
 
Source Iran radio huo ni UHARO wa BATA.

Ila ulitaka source iwe CNN au Fox News ambao ni Israel hao hao? Wenzako wanakula kipondo huko! Hezbollah siyo Hamas ambao utawaonea utakavyo. Wao wakikuambia watalipiza visasi wanamaanisha wanachokisema!
 
Kalaga baho!!!ushindi haupatikani mezani unapatikana kwenye uwanja wa vita,kwa upande wa source ya habari tunachotaka ni Known source si mtu yuko kijiweni anatunga vitu harafu anatusadikishia hapa.
 
Yeah ni kweli uyasemayo! Hata hivyo ni uendawazimu kudanganya kuwa Israel peke yake ana uwezo. Siku Western Society watakapoibwaga ikabak peke yake, wakaacha kura ya Veto inayowakingia kifua, huo ndo utakuwa mwisho wa Mazayuni. Its not realistic kutuaminisha kuwa Zionists alone are capable on military basis. Common understanding rejects such beliefs!
 
Sioni Mantiki ya kushabikia mauaji ya kundi lolote kati ya hayo
 
unaandika kwa hisia kuubwa sana,unanufaika??????

Back
Top Bottom