Yanayoendelea kati ya Israel na Hezbollah

Yanayoendelea kati ya Israel na Hezbollah

Kazi wenzetu mnayo maana huku mnajilipua tena mnauwa waislamu wezenu huku Israel ikiwashughulikia ipasavyo, ombeni miungu yenu yote kwa Israel mtasubiri sana

Hao israel wanapigwa kila siku na mgambo tu wa hezbollah wana ubavu gani?nchi ambayo 80% ya watu wake maskini halafu mmekuwa brainwashed ni taifa la mungu,mbululaz
 
incharge hao hezbollaha huwa wanakuwa wapi palestina ikipigwa kama wana uwezo, ujue israel wana nuclear mwaka 2006 lebanon hawaja recover kwenye ile loss unataka waingie vita nyingine alafu muaze kuwalaum ma zionist.
 
Last edited by a moderator:
Waliwatandika israel mwaka 2006 , na juzi hezbollah wamewachokoza israel tena , netanyahu kachimba biti ila kagoma kwenda kupigana kama alivyoahidi, na experts wameonya kwamba israel hawezikupigana na hezbollah cheki hapo chini kutoka israel

Israel can't defeat Hezbollah: Israeli expert
JERUSALEM | Thu Dec 16, 2010 7:40am EST
Email
Facebook
Twitter
JERUSALEM (Reuters) - Israel cannot defeat Hezbollah in a direct engagement and the Lebanese guerrilla group would inflict heavy damage on the Israeli home front if war broke out, a former Israeli national security adviser said Thursday.

Though outnumbered and outgunned, Hezbollah held off Israel's advanced armed forces in a 2006 war and fired more than 4,000 rockets into Israeli territory. The group has a domestic political base and has since bolstered an arsenal that Israel describes as a strategic threat.

Tensions between Israel and Hezbollah's Iranian and Syrian backers have stoked expectations of renewed violence in Lebanon.

"Israel does not know how to beat Hezbollah," said Giora Eiland, an army ex-general who served as national security adviser to former prime ministers Ariel Sharon and Ehud Olmert.

"Therefore a war waged only as Israel-versus-Hezbollah might yield better damage on Hezbollah, but Hezbollah would inflict far worse damage on the Israeli homefront than it did 4-1/2 years ago," he told Israel Radio.

Echoing serving Israeli officials, Eiland said:

"Our only way of preventing the next war, and of winning if it happens anyway, is for it to be clear to everyone ... that another war between us and Hezbollah will be a war between Israel and the state of Lebanon and will wreak destruction on the state of Lebanon.

"And as no one -- including Hezbollah, the Syrians or the Iranians -- is interested in this, this is the best way of creating effective deterrence."

Except for a deadly August skirmish between Israeli forces and the regular Lebanese army, the border has been mostly quiet.

But Israelis have been watching for signs that Hezbollah, should it be named in an impending U.N. indictment over the 2005 assassination of former Lebanese Prime Minister Rafiq Hariri, will push back by consolidating power in Beirut.

Israeli Defense Minister Ehud Barak has argued that Hezbollah's role in governing Lebanon would make the country fair game in any future war involving the Shiite militia.

Eiland said such a scenario would have "the entire world crying out for a ceasefire within two days," which would be more in the Israeli interest "than having to deal directly with every one of (Hezbollah's estimated) 40,000 rockets."

(Writing by Dan Williams; Editing by Michael Roddy)

Usiache kutumia akili yajko kwasababu za kishabiki,kidini au kwa aina yoyote ile kwasababu unajidhalilisha wewe na ubinadamu wako

Wewe unashabikia hili ambo kwasababu za ujinga au kwa makusudi kabisa.....

Uko hapa nyuma ya simu au PC yako na kushabikia huu upuuzi kwasababu unajua kwa kufanya hivyo haikugharimu kwa aina yoyote ile lakini laiti kama ungekuwa ni mmoja kati ya watu ambao wangegharimika naamini usingeandika haya hapa

Ni ujinga mkubwa sana kushabikia eti hicho kijikundi cha watu kinaweza kupambana na jeshi kubwa kama la Israeli,wewe kukubali kuwa hawawezi haina maana kuwa unaikana dini yako bali unazungumzia ukweli ulio mweupe kabisa

Nchi za Kiislam ikiwemo na Lebanon wanahitaji sana Palestina iwe huru na zaidi sana mji wa Jerusalem na kama wangekuwa na uwezo wa kuanzisha vita na wakashinda ingekuwa zamani sana wameanzisha na kuichukua Jerusalem pamoja na kuifanya Palestina huru na kuwafutilia mbali Wayahudi na imani yao

Ni mara ngapi Iran imetamka kuwa inatamani Israeli isiwepo kwenye ramani ya dunia? Unadhani ni kitu gani kinawafanya wasiifute wakati wanawachukulia Wayahudi kama sio binadamu?

Utaweza kuliona hili kwa uwazi kabisa kuwa hawana uwezo wa kupigana vita na Israel hata kwa wiki moja tu,kumbuka namaanisha vita na sio vivurugu vya hapa na pale ambavyo vinatokea kila siku,kivita hakuna nchi hata moja ya Kiarabu inaweza kusimama na Israel na hata zikiungana hawawezi na hilo wanalijua

Sasa wewe endelea kushabikia ujinga kwasababu tu wewe uko huku na vita ikianza hautahusika

Acheni kushabikia ujinga,hao Hezbollah ni wendawazimu na wanaposema wanaweza kupigana na Israeli wanakuwa wanajua kabisa kwamba hawawezi na wanapiga kelele tu!
 
Paragraph yako ya tano haiko realistic, unaangalia upande mmoja wa Waarab huangalii pia misaada ya kugharamia jeshi, intelijensia na kura za turufu/ VETO, vyote hivyo ndiyo mafanikio yote ya IDF, bila ya hivyo hamna kitu hapo!
 
Hujaelewa context ya nilichoandika .....

Sikua nazungumzia sababu ya mafanikio ya jeshi la Israel bali nilizungumzia uwezo wa jeshi la Israel ukilinganisha na hao wanamgambo wa Hezbulah na ndio maana sikusema uwezo wa hao wanamgambo unatokea wapi

Hoja ya msingi hapa ni kwamba hao wanamgambo hawana uwezo wa kuhimili jeshi la Israel hata kwa siku mbili tu wote wakiwa vitani bila kujificha kwenye shule,hospital wala kwenye makazi ya watu!
 
incharge hao hezbollaha huwa wanakuwa wapi palestina ikipigwa kama wana uwezo, ujue israel wana nuclear mwaka 2006 lebanon hawaja recover kwenye ile loss unataka waingie vita nyingine alafu muaze kuwalaum ma zionist.

Hivi unajua kilichowapata Israel lebanon war 2006? hadi leo pamoja na kupewa misaada kila siku na marekani bado umasikini hauwaachi, pamoja ya kwamba wapo wachache, marekani anafanya propaganda zote kwa kutumia media na nguvu zake za kijeshi kuipromote israel, ila israel hawabebeki,nguvu yao ni ya kupigana na mgambo tu
 
GDP YA ISRAEL NI 36,151 USD niambie ni masikini ukifananisha na gdp ya nchio gani ya kiarabu.

hawa ndio mgambo unaozungumzia brother
mwaka 1948 -49 israel ilipiga nchi hizi hapa vita ya uhuru
Egypt
22px-Flag_of_Iraq_%281921%E2%80%931959%29.svg.png
Iraq
Transjordan
Syria
22px-Flag_of_Lebanon.svg.png
Lebanon
22px-Flag_of_Saudi_Arabia_%281938_to_1973%29.svg.png
Saudi Arabia
HWA
ALA

mwaka 1967 vita ya siku sita mgambo hawa walipigwa

22px-Flag_of_United_Arab_Republic.svg.png
Egypt
22px-Flag_of_Iraq_%281963-1991%29%3B_Flag_of_Syria_%281963-1972%29.svg.png
Syria
22px-Flag_of_Jordan.svg.png
Jordan
Iraq
22px-Flag_of_Lebanon.svg.png
Lebanon

yom kippur mwaka 1973 walichezea tena kichapo hawa mgambo

22px-Flag_of_Egypt_%281972-1984%29.svg.png
Egypt
22px-Flag_of_Syria_%281972-1980%29.svg.png
Syria
22px-Flag_of_Jordan.svg.png
Jordan
Iraq
22px-Flag_of_Algeria.svg.png
Algeria
Morocco
22px-Flag_of_Tunisia.svg.png
Tunisia
22px-Flag_of_Cuba.svg.png
Cuba
22px-Flag_of_North_Korea.svg.png
North Korea

orodha inaendelea hebu jaribu kupitia hapa usisubiri kusimuliwa na masheikh msikitini.

List of wars involving Israel - Wikipedia, the free encyclopedia

ukweli unaujua kuwa waislamu/wa aarabu hamjuwezi pigana na israel vinginevyo mngeikomboa al aqsa mosque zamani sana kutoka kwa jews.
 
Haya kunywa hiyo , ni chungu lakini dawa na report ya kwao wenyewe netanyahu kaikaushia, 80% ya waisrael hawamudu mahitaji yao ya mwezi

Report reveals majority of Israelis cannot get through the month
About 80% of Israeli households spend more than they earn; 2014 State of Nation report unveils grim statistics in economy, housing, health, and education sectors.
Avital Lahav
Published: 12.17.14, 21:58 / Israel News

About 80% of Israeli households are spending more than they earn and the average Israeli family cannot get through the month – new statistics unveiled in the 2014 State of the Nation report by the Taub Center for Social Policy Studies revealed on Wednesday.

Follow Ynetnews on Facebook and Twitter

The report refers to data collected in 2011, and the research conducted by economist Eitan Regev shed light on the fact that that the average household income in Israel was lower than the average expenditure – NIS 19,653 monthly income compared to NIS 20,596 monthly expenditure.

Ynet turned to the Prime Minister's Office and requested a response to the report, but the Prime Minister Netanyahu has not responded.
 
Back
Top Bottom