Yanayoendelea kati ya Israel na Hezbollah

Yanayoendelea kati ya Israel na Hezbollah

Leo NasurLaah atatoka kwenye Al Manar Tv live @ 13.00 GMT, sikia atakavyo wasomea Israel na kuwambia Hezbollah sio ya kucheza nayo.
 
Historia inatuambia kuwa Israel iko capable kwa vita maana wao tuka zamani wamekuwa watu wa vita hivyo wana uzoefu katika nyanja hiyo kuliko waarabu na ushahidi dhahiri upo kwenye vita vilivyopiganwa na pande hizo mbili,Kuhusu west hilo lisikutia wasi-was maana nao wana Interest zao huko hivi si rahisi kama unavyofikiria,hata kama west unavyosema wana VETO kama Israel ingekuwa dhaifu kijeshi isingesaidia chochote maana mimi naamini nchi za magharibi ni SIMBA WA KARATASI sema tu waarabu wanatishika nao sana wakati wao ndo walipaswa watishe dunia hii maana Ki-uchumi wako juu na hata Ki-jeshi wako vizuri nashindwa tu kujua wakiwa ON THE GROUND wana PROVE ZERO ya masikio.
Yeah ni kweli uyasemayo! Hata hivyo ni uendawazimu kudanganya kuwa Israel peke yake ana uwezo. Siku Western Society watakapoibwaga ikabak peke yake, wakaacha kura ya Veto inayowakingia kifua, huo ndo utakuwa mwisho wa Mazayuni. Its not realistic kutuaminisha kuwa Zionists alone are capable on military basis. Common understanding rejects such beliefs!
 
dogo ujumbe ndio huo Israel anambiwa na Hezbollah, nadhani mmeufahamu sana tena sana na Natanyahau anaufahamu zamani sanaaa Ishmael , 2013
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni mawazo yako mkuu na ndivyo unavyoamini hakuna mtu atakayekulazimisha kubadili mawazo yako. lakini Ukweli utabaki Ukweli na Ukiambiwa neno lifikiri sana na utumie na wewe akili yako vinginevyo UTALIWA..
Wewe umefikiria?, miAfrika bwana kwa kujipendekeza Israel
 
Hayo ni mawazo yako mkuu na ndivyo unavyoamini hakuna mtu atakayekulazimisha kubadili mawazo yako. lakini Ukweli utabaki Ukweli na Ukiambiwa neno lifikiri sana na utumie na wewe akili yako vinginevyo UTALIWA..

Acha kuchanganya mambo, ukweli ni subjective, objective, relative and situational, una kipimo gani cha kusema huyu hajafikiri na huyu amefikiri?.,

Yale yale ya kuisifia Israel...
 
Akili yako imekuwa mgando imeganda kufikilia kuisifia Israel hakutoi mtu hapo maana umeathirika na chuki dhidi ya nchi nyingine GAUTAMA
Acha kuchanganya mambo, ukweli ni subjective, objective, relative and situational, una kipimo gani cha kusema huyu hajafikiri na huyu amefikiri?.,

Yale yale ya kuisifia Israel...
 
Last edited by a moderator:
Sasa propaganda zimetuchosha huu ni ulimwengu wa kweli israel hawawawezi hazibullah ndio maana wanasitasita kupigana
 
Ni MJINGA tu ndiye anaweza kupigana bila kujipanga mtu mwenye busara ni lazima apange na achague hakurupuki kama unavyosema wewe.
Sasa propaganda zimetuchosha huu ni ulimwengu wa kweli israel hawawawezi hazibullah ndio maana wanasitasita kupigana
 
Back
Top Bottom