series ya maigizo na reality wapi na wapi mkuuNa mzungu ni rahimu sana kama aliweza kukuchukueni kutoka makweni hadi Caribian island, ulaya na marekani.
Fungua macho na kaangalie series za maigizo inaiyokwenda kwa jina "THE ROOT" itafaham vyema unachokisema.
Kwan wao walivyomsalit Gadaff waliwaza nn? Hayoo ndio mavuno?Mkuu unafurahi waafrika wenzako kuuzwa kama samaki?
hao mablacks ndio walimpindua ghadafi hebu soma vizuri mkuuKwan wao walivyomsalit Gadaff waliwaza nn? Hayoo ndio mavuno?
Ukipanda haba utavuna haba!!!
Ostaadh huyo kwa nini asifurahi.Mkuu unafurahi waafrika wenzako kuuzwa kama samaki?
tuwanunue tuwapeleke wapi wakati wao ni weak(dhaifu) kuliko sisi....kwenye upande wa kufanya kazi ngumu mtu mweusi ni strong zaidi kuliko mtu mweupe ndo maana walikua wanachukuliwa huku Africa wanapelekwa marekani kwenda kufanya kazi hasa kilimo..tukiwanunua wazungu labda tuje wape kazi za ndani tuUnafiki utawamaliza vizazi kwa vizazi but why na sisi tusiwanunue wao waliopo huku kwetu?
Sijui alikuwa anajaribu kusemajeseries ya maigizo na reality wapi na wapi mkuu
hata picha huoni?
Mbona kama uko nje ya uhalisia maana wanaouzwa walimsaliti vipi gadafi wakati hao ni wasudan eritiria somalia na wanigeriaKwan wao walivyomsalit Gadaff waliwaza nn? Hayoo ndio mavuno?
Ukipanda haba utavuna haba!!!