Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,358
Binadamu wote tu ni katili sana sema wengi wanakua hawana fursa...Hitler na Wanazi walikua wanachoma watu kwa gas wakiwa wazima kabisa....amini nakuambieni hakuna binadamu katili duniani kama mwarabu.. kama aliweza kutuuza kipindi kile kama nyanyasembuse sasa hivi..
ila hawa ndugu zetu waarabu wamezidi...Binadamu wote tu ni katili sana sema wengi wanakua hawana fursa...Hitler na Wanazi walikua wanachoma watu kwa gas wakiwa wazima kabisa....
hao hata bongo hapa wabaguzi wabaguzi tuila hawa ndugu zetu waarabu wamezidi...
Cv yao ipo wazi tu..
tusipepese macho
Ndo maana tulitawaliwa na tunatawaliwa waafrika hatupendani Sasa unafurahia shida za mwenzako wewe hujawahi ona vita weweHawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.
inashangaza mwenye kiti wa umoja wa afrika anakuna tu litumbo huko ofisini kwake ungeona rangi nyeupe kati ya hao waliofungwa kamba ungeona dunia inavyo simamisha mkia na kunyenyuamasikio huku viongozi wanafki wa kiafrika wakotoa matamko ya kulaaniHili ni swala la kushughukiwa na Umoja wa Afrika pamoja na UN. Lakini kama viongozi wa Afrika wako kimya nani atajali? Mpaka wazungu watusemee? Aibu kwetu.
Sisi waafrika tunatia sana huruma..mie nafikiri umaskini wa viongozi wetu matokeo yake wako bizy kufanya ufisadi na kujilimbikizia mali....inashangaza mwenye kiti wa umoja wa afrika anakuna tu litumbo huko ofisini kwake ungeona rangi nyeupe kati ya hao waliofungwa kamba ungeona dunia inavyo simamisha mkia na kunyenyuamasikio huku viongozi wanafki wa kiafrika wakotoa matamko ya kulaani
yeah nimeikuta mahali wanauzwa $400-$500Hao naskia wanakamatwaga baharini au wakiwa wameshavuka maji kuingia ulaya afu wanavushwa tena kuletwa Libya wanawekwa vizuizini ili warejeshwe kwenye nchi walizotokea. Sasa wakati wanaposubiri UN waje wawachukue ndo wanaendelea kufanyiwa shughuli kama hizo, ubakaji na mauaji na sasa hv wanauzwa kama nazi kuanzia dola 400 (Tsh 900,000) kwa mnada.
Acha yawakute. Wanakimbilia ulaya kulishajengwa badala wajenge makwao.
washughulikie kinachowafanya hao watu wakimbie nchi zaoHili ni swala la kushughukiwa na Umoja wa Afrika pamoja na UN. Lakini kama viongozi wa Afrika wako kimya nani atajali? Mpaka wazungu watusemee? Aibu kwetu.
Senegal kuna vita ?Ivory coast kuna vita ?in short mataifa wanayotoka hawa vilaza hayana vita.Ndo maana tulitawaliwa na tunatawaliwa waafrika hatupendani Sasa unafurahia shida za mwenzako wewe hujawahi ona vita wewe
Usiongee hivyo!Hawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.
Njia panda ya ulayamkuu huko ni libya(kaskazini mwa afrika) na sio ulaya
Maisha yapo nchini kwao.Usiongee hivyo!
Watu wanafika au kwenda mala fulani kutafuta maisha.
Na mzungu ni rahimu sana kama aliweza kukuchukueni kutoka makweni hadi Caribian island, ulaya na marekani.amini nakuambieni hakuna binadamu katili duniani kama mwarabu.. kama aliweza kutuuza kipindi kile kama nyanyasembuse sasa hivi..