Hawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.

Hao naskia wanakamatwaga baharini au wakiwa wameshavuka maji kuingia ulaya afu wanavushwa tena kuletwa Libya wanawekwa vizuizini ili warejeshwe kwenye nchi walizotokea. Sasa wakati wanaposubiri UN waje wawachukue ndo wanaendelea kufanyiwa shughuli kama hizo, ubakaji na mauaji na sasa hv wanauzwa kama nazi kuanzia dola 400 (Tsh 900,000) kwa mnada.
Acha yawakute. Wanakimbilia ulaya kulishajengwa badala wajenge makwao.
Hili ni swala la kushughukiwa na Umoja wa Afrika pamoja na UN. Lakini kama viongozi wa Afrika wako kimya nani atajali? Mpaka wazungu watusemee? Aibu kwetu.