Yanaota matembele!!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,549
Kuna jamaa alikuwa na matatizo ya uzazi, alipokwenda kwa dokta akapimwa, lakini dokta akazippenda korodani za mshkaji kutokana na size yake,akaamua kuzichukua na kuziweka kama kumbukumbu, in return akachonga viazi na kumuwekea mshikaji kama korodani, baada ya wiki mbili dokta akakutana na jamaa akamuuliza anaendeleaje, jamaa akajibu " KIAFYA NAJISKIA VIZURI ILA HUKU CHINI BADALA YA KUOTA ZILE NYWELE SASA IVIYANAOTA MATEMBELE!"
 
hahaha,wana raha hao hawanunui mboga za majani! angemuwekea moja kiazi nyingine nyanya,lol
 
hahaha,wana raha hao hawanunui mboga za majani! angemuwekea moja kiazi nyingine nyanya,lol
mimi nadhani bora zote angeweka nyanya, maana kiazi kigumu nyanya laini sasa bora vyote viwe laini.
 
Dah! Ama kweli nimecheka hadi nimecheka tena du! Hi ni hatari!
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…