Daktari na manesi wauguzi

Daktari na manesi wauguzi

molely molly

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
317
Reaction score
30
Daktari mmoja wa hospitali fulani huku mkoani alimpokea mgonjwa akiwa na matatizo ya kuvimba bush..then dokta akataja cost za kumfanyia sugery mean upasuaji na apointment ya siku mgonjwa kuja kumit na dokta juma tatu dokta akamfanyia uposuaji na kuanika zile mambo nea dirisha sasa bhana paka siakapita nazo kilichotokea coz ni kosa la kizembe dokta akaamua kuchukua viazi 2 akachonga fresh akampachikia yule mzee ili mzee asishtukie then afta 2dayz akampa dischage sasa mzee akakaa kama mwezi na ujinga ikabidi arud kwa yule dokta dokta akamuuliza vipi mzee umepona ???? mzee akajibu tatizo la kwanza limeisha limeibuka lingine badala yakuota mavuu... naota matembele duuuuu manesi hahahahah!
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa....!Heeeeeeeeeeee.....!Hiiiiiiiiiiiiiiiii......!!!
 
teh teh teh.......huyo dokta ni noma. Kwa hiyo jamaa ana malighafi mwilini kwake?
 
Khaa haaaaaaaa ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! siku imepita safiiiiiiii
 
Loading...100%
Searching..100%
Connected 100%
tehe tehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom