Ikikukera iache, usicomment

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
Mzee mmoja alienda kufanyiwa upasuaji wa makende (korodani/pumbu) zake, wakati tabibu amezitoa zile korodani na kuziweka pembeni huku akiendelea na tiba bahati mbaya paka akazipitia katika mazingira tata kisa aliacha mlango wazi. Tabibu akaamua amwekee viazi ili alinde kibarua chake. Baada ya siku kadhaa yule tabibu akakutana na mgonjwa wake na kumwulizia hali yake.
Tabibu: Unaendeleaje?
Mgonjwa: Naendela powa sana ila kuna kitu kimoja tu ndo hakiendi sawa.
Tabibu: Nini hicho??
Mgonjwa: Badala ya kuota mavuzi naota MATEMBELE!!!!
.................KUCHEKA NI AFYA.....................
USIKU
MWEMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom