Yametokea Kenya: Kama Jumatatu inavyoitangulia Jumanne, lazima yatatokea Tanzania

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,598
2,000
Kenya ni middle income country. Production yao - both in industries and agriculture inazidi ya Tanzania meaning wana cargo kubwa kuliko yetu. Human resources yao ni more skilled kuliko ya kwetu.

Waite manyang'au, lakini wengi wao (including education system yao) ni business oriented. Lakini pamoja na yote hayo verdict juu ya SGR yao ni hii: IT IS UNECONOMICAL.

What will happen to our own SGR (assuming itakamilika - and I doubt very much whether that will happen)?

Soma hapa: Hard sell: Broken SGR promise? : The Standard
 

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,102
2,000
Reli ya Kenya ni uneconomical kwa kuwa inatembea kipande cha km 550 hivi. Ili reli iwe economical angalau itembee umbali wa km 1000 na zaidi.
 

bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
275
1,000
Ukishindwa kufanya jambo kwa kuhofia mtu fulani alishindwa basi jua wewe uliye acha umefeli pakubwa zaidi
Kikubwa unacho paswa kufanya ni kujifunza namna gani ilisababisha akafeli na wewe kuja kufanya tofauti na vizuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,598
2,000
Ukishindwa kufanya jambo kwa kuhofia mtu fulani alishindwa basi jua wewe uliye acha umefeli pakubwa zaidi
Kikubwa unacho paswa kufanya ni kujifunza namna gani ilisababisha akafeli na wewe kuja kufanya tofauti na vizuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
You simply don't get my message. Ni ukichaa kurudia kitu kile kile (na kwa namna ile ile) kilichokuwa already proven to be unworkable.
Insanity is doing the same thing but expecting different results.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom