Yametimia: Sasa ni dhahiri wale vijana watatu wamebanwa:

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,344
1,531
WanaJF

Amani iwe kwenu,

Leo ni siku ya tatu tangu niwaletee habari za chinichini juu ya vijana watatu wanaopanga mageuzi ndani ya chama kigongwe kabisa barani Africa ifikapo 2020!

Mnyetishaji wangu anadai jamaa wamekwisha kabisa lazima wasubiri 2025 kwa hali yoyote hata kama chama kitakuwa hakina dola endapo atapigwa 2020 ila lazima agombee.

Nidhahiri sasa mtukufu ameshawabana kama alivyoahidi atapamabana nao kikamilifu,
Hatua ya kwanza imeanza kwa mtukufu kuja na rasimu ya kutaka yeye atawale kwa miaka 10 mfululizo labda kifo kiingilie kati otherwise hakuna kupingwa hata kama ataivuruga inchi/ chama kwa kiasi gani itawapasa kusubiri.(Nkurunzinza style)

Kama wajumbe walio wengi watakubali na kuipitisha rasimu hii basi ndoto za hawa vijana mahiri ,wasomi na watu wenye uzalendo wa kweli haiba chanya kabisa ya kiuongozi inayomtetemesha mtukufu itakoma mara tu baada ya mkutano mkuu huu unaofanyika katikati kabisa mwa inchi,

Hapana nampongeza mtukufu kwa kuusoma vizuri wakati na kufanya maamuzi kwa haraka bila kusita, hapa amefanikiwa kuwazima hawa vijana ambao walikuwa ni mwiba mkali sana kwake hasa kwenye uteuzi wa ndani ya chama 2020 wa kumpata mgombea amabao nao waliamini kuwa walikuwa na haki,sifa,uwezo,nia,nguvu na haiba ya kuongoza taifa lenye watu zaidi ya mil 50, Waliaapa kuvuta fomu na walikuwa wakijiapiza lazima wafanye hivyo na wangemshinda mtukufu ndani ya chama kwani hata kushinda kwake ni wao wameplay part kubwa!

Ushauri wangu kwa hawa vijana ni kwamba kama kweli wanataka kukabiliana na huyu mtukufu lazima wafanye yafuatayo:

Mosi, Wahakikishe iwe mvua, iwe jua kipengele hicho hakipiti kwa garama yeyote.
Pili, wakishindwa watoke inje ya hicho chama ili wamkabili wakiwa inje is the last option.

Msemakweli mpenzi wa Mungu,
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,
Lets give a time time
 
Ikiwa umekusudia Nape,Makamba Na mwigulu hao hawawezi kufanya hiyo option ya mwisho uliyowapa.sababu kuu ni kuwa wamezoea maisha ya mteremko Na siasa Za kubebwa.
 
Mnajifanya wachungu wa ccm
Kuliko Mbowe alivyo Futa kipengele cha ukomo wa mwenyekiti chadema
hakuna alie hoji hilo.
Ni Rais yupi hajagombea Miaka 10 mfululizo ndani ya Ccm!!
Iwe Nongwa kwa Magufulu!!?
Mtazua sana ila Magufuli ndiye Rais wa Tanzania Mpaka 2025.
 
Mwafwaaaaaaaaaah
 
True
 
Sisiemu buana kwa hiyo hata jamaa akiamua Ku relux asifanye chochote ana uhakika 2020 anarudi yeye bila kuwa na pingamizi ndani ya chama....!! Ngoja wanyoooke kwanza.
 
Back
Top Bottom