Hatua mzuri ijapo tumechelewa... karibu sana C-FIFG Bombardier
Umepata jibu la swali lako?No wonder Id yako inakufaa
Rubani na ndege yenyewe haina muda wa kukunja matairi, ni mwendokasi kwa kwenda mbele- Tumechelewa kweli kweli. Inawahi kuja kuwatumikia wadanganyika na kama alivyosema waziri itatua viwanja vyote nchini. Ndege wakijifanya wendawazimu, mapangaboi yanapata mboga.Haikunji matairi au?
Haikunji matairi au?
Mbona ishaandikwa humu mara nyingi tu kuwa safari ya jet ya saa moja na robo hii inatumia saa moja na nusu hivi. Tofauti ya speed sio kubwa sana.Mimi hofu yangu ni muda wa safari kuwa mrefu hivyo kushindwa kushindana na Fastest katika same root na hivyo kukosa faida na kushindwa kukua kibiashara. Sio mikoa yote ina idadi kubwa ya wananchi wanaweza kumudu kupanda ndege. Jamaa waumize kichwa na kufanya restructuring ya shirika sasa
Sikujua kama na mimi ni tajiri maana nazipanda sana hizo.Matajiri ndio waungane wawe wamoja...Usafiri wa ndege ni kwa ajili ya matajiri tu Masikini yao ni mabasi na malori
No wonder Id yako inakufaa