Sawa Kaka Mwarabu. ππMatch ya mwisho ntakuwa na waarabu wenzangu wa Algiers!
Na kweli Mkuu kwani level za kushindana hatujazifikia bado.Lengo Ilikuwa Ni Kushiriki
Hahahaaaa. Nilishabwaga moyo Kaka hivyo sina hata maumivu.Halafu Dada dizain kama umefurahi hivi...
Mshana msaada tafadhaliHivi mnatambua kwanini jamaa huwa anadunda tu pamoja na kulaumiwa sana kila kona?
Wote tunatambua nguvu ya kunenewa mabaya na matokeo yake kwa mhusika, Lakini ushawahi kujiuliza kwanini jamaa hatetereki wala kutishika?
Jibu ni moja tu lawama zote na laana (Kama zipo)
zinaenda kwa Paul M na sio yeye!
Yeye ni Daudi ndo maana anazidi kutamba tu!
Na wabaya wake wote wanashindwa kulitambua hili! Mshana Jr ataweza kulielezea vizuri hili.
Samahani hivi hiyo mechi imeishaje maana jana nililala mapema.Daah! Huu ni zaidi ya Utabiri. ππππ
Kwani imekuaje Mtani naona unafuraha kwani tumefuzu mtoano? πππππ tushashiriki tayari Mtani.
Iliisha TZ 2 - KENYA 3Samahani hivi hiyo mechi imeishaje maana jana nililala mapema.
Tufuzu wapi Mtani.Kwani imekuaje Mtani naona unafuraha kwani tumefuzu mtoano? π
Aisee kumbe iliisha hivyo.Iliisha TZ 2 - KENYA 3
16 bora MtaniTufuzu wapi Mtani.
Mtani unasemea kile cha mwenda wazimu ama? πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈAisee kumbe iliisha hivyo.
Bado mpaka leo ni kichwa tu
Hatujafikia huko bado Mtani. Sisi huwa tunachezea Soka mdomoni tu.16 bora Mtani
Yap cha mwendawazimu. au ulifikiri kipi? πMtani unasemea kile cha mwenda wazimu ama? πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ni kweli inasikitisha sana.Hatujafikia huki bado Mtani. Sisi huwa tunachezea Soka mdomoni tu.