Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,209
sawa... byeee. tuachie sisi
akiii...yaani udhamirie kuua mtu kisa mapenzi!!!
Mkuu unauzungumzia mchepuko?
Maana kama una familia yako nachukulia una mume/mke, sasa huyo anaesumbua ni kichochoro nini!
Kwanza nikupe pole mkuu...
ila swal la mapenz nakushaur utulie sana unapotafuta mtu...hawa dada zetu weng cku hiz hawajielewiiiiiii...
omba Mungu akupe atakaye kufaa na kuendana nawe.we mkuu...
Wee nawe haueleweki humu kama uliamua basi sasa unatuambia sie tukufanyaje wakati hatujui yaliyokukuta wala ulipoanzia...mbona haujaja humu kutiambia unatongoza...toa ----- wako hapa!!!