Hahaha huwa wako hivyo, wakiwa bado wanakupenda, mashine yako husifiwa kuwa ni nzuri na kubwa kuliko zote zilizotangulia awali...siku wanakuacha huwa mashine yako inatangazwa kuwa ndogo na mbaya haijapata kutokea...
Mwisho wa siku huwa hata hatujui kama kweli ni kubwa au ndogo! Kikubwa ni imani kuwa kila mmoja amepewa ya kumtosha
Tena ukubwa na udogo wala hauna maana sana, huwa wanasema,
..if you cant nail the quantity, go for quality..(vice versa is also true)
Songa mbele mkuu, mwaka mpya unauanza ukiwa huru kuliko maelezo, umepewa nafas ya kuchagua tena!