Yamenikuta

Yamenikuta

Hizo ni shit potezea fanya yako,

Dunia ya sasa fanya yako usiangalie wala kusikiliza maneno uchwara ya watu wa hovyo.
 
Kwaiyo munanishaur nimfanyeje nini huyo maana mwanamke mpaka sasa sijapata jibu
 
Ukiona manyoa ujue kishaliwa.

Wajanja wameshakumegea kisela
 
Huyo katoka kupigwa mkuyange si bure ila cha kufanya andika baruwa ya posa oa fasta
 
Back
Top Bottom