Srid !!!!!!!!!yamekukuta kweli ......kuna srid jamaa alicoment kwamba yaweza pata tiba so jaribu cheki mafundiii
SIMU AINA GAN?Nimeroot Simu Yangu Leo, Haina Hata Wk. Nimefanikiwa Vizuri Ila Nilipozima Kuichaji, Ile Inataka Kuwaka Ikaja Alama Ya Mshangao Ya Njano Na Maandishi Juu Yake; Custom Binary Blocked By Fpa. Chini Yake Kuna Maandishi Madogo Mekundu Yanasomeka Secure Fail: Kernel. Simu Haifanyi Chochote Na Screen Ni Black Ikiwa Na Hiyo Alama Ya Mshangao. Msaada Tafadhali
tafuta Pc nikuelekezeGalaxy J5 Ndugu. Kama Kuna Msaada Tafadhali
Yaa mkuu uwe na bando kama 2gbPc Inabidi Iwe Na Internet?