47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Wasee niaje?
Ni juzi tu, nlipata wrong Mpesa cash kitu kama ngiri sabini (Kshs 70,000/=) nilitia mbidii nikawithdraw. By the after kitu kama two hours napata nangos mpya kwa tenje, huyo msee alinishoo vile amekosea kutuma doh, hata alidandishia customer service ya safaricom wakamshoo vile ilikua imetolewa.
Sasa tukabonga alinishoo pia hiyo dooh alimsambazia ojola for transporting dead body ya madha yake from Nairobi to maseno Kisumu na expenses zingine...... By the mimi nimemshoo hiyo dooh haijaingia kwa tenje yangu.
Although I know the truth, na hiyo doh nilitumia kulipa landlord,, na hata ingine nlibuy kale Sony Bravia TV.
Ingine nliset madhee chini ya maji na kuna ule msupa nlimnoki kitaani, sikufichi last night nilimmanga tu vizuri. Anyway
Sahii mikosi imekuja, my mom ako admitted hosy, cousin yangu nae naskia amechizi, TV yangu mupya imesanywa keja yangu nayo imeungua.
Myself naharwa tangu asubuhi nikienda loo natoka after two hours.
Wasee hivi ni effects za 70K za Mpesa ama?? Na if yes nafanya aje na vile hiyo pesa imebaki tu ngiri nane (Kshs 8,000/_)
Na sahii kuna mzae niko na deni yake kama ngiri kumi na amenishoo vile atanifanya. Pls help me juu niko tu hapa na kitanzi ama nijimalize.