Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

Hili ndo jibu
Washashindikana hawa
Ataona kimya kimya mambo yangu

Alaaaa habari ataisoma kwenye gazetii ila nikilala nalala na nguo za kujikinga na ndegue pia hela ya matumiz iongozeke ,yaan nyumba mbona itakua ya moto halaf nikijua na upande wa pili kile kicheche chake nikikosa na tindikali basi nakikodia vimjamaa vimle tigo mpaka azimieeee
 
Ongea na mshikaji wako fasta...mpe stori nzima.

then,
fika home mke akikuuliza, msubiri agombe kidogo then anza kucheka. Kisha mwambie, 'My love subiri kidogo..' mpgie simu mshikaji wako weka loud speaker kisha mwambie kwa kicheko maneno ambayo 'shemeji yake' ameyasema alafu muombe amuelezee kuwa ilikuwa bet mliweka ofisini na asiwe na wasiwasi na wewe...

P/S: USISAHAU kurudi huko utokako kumsindikiza mgeni na zawadi...

Salute you Mentor!!
 
Last edited by a moderator:
Is this the way u pay me?
Tuchukulie position ya mkewe
Anampikia mumewe....

Unamfulia kujua mume wangu ypo job

Anaangalia watoto na kuwafundisha maadil

Anafanya yote still anamcheat na kuonyesha yy mbabe kaja na ndom ujue alipiga viwil

Ntamsamehe kwa kipi?
Tell me

Au mkewe hana papuchi
Waharumie wake zenu jaman mtawauwa kwa presha

Shem ICHANA umeongea kwa uchungu!Mimi na bro Mokoyo wazee wa njia kuu
 
Last edited by a moderator:
Sijui ntasolve vipi hii kitu ina ushahidi maana nilisahau kwenye mfuko wa suruari nilikuwa nimeivaa jana kwenye kamchepuko. Mbaya zaidi ilibaki moja katika packet ya condom tatu nikasahau kuitupilia mbali. Alikuwa anaanza kunihoji kuhusiana na hili sakata mara mgeni akaingia, sasa natoka kumsindikiza mgeni ndo narudi home nawaza sijui ntazugaje anielewe. Duh! Kweli mchepuko sio dili. Mwenye uzoefu na hii kitu ambaye ameshawahi kupatwa na mkasa kama huu aniambie alitatua vipi.
Safi sana. Na Mungu azidi kutenda miujiza ukutwe live. Cha kufanya rudi kwa huyo sede lako full stop.
 
Kama ni mimii wala sikuuliziii ukirudi nakupa ndom yako nakuambia rudi ukapate raha wala sitakuchukiaa ila utanitambua kimya kimyaaaaaaa tu


Weeerr
 

Attachments

  • 1400866219352.jpg
    1400866219352.jpg
    40 KB · Views: 171
Is this the way u pay me?
Tuchukulie position ya mkewe
Anampikia mumewe....

Unamfulia kujua mume wangu ypo job

Anaangalia watoto na kuwafundisha maadil

Anafanya yote still anamcheat na kuonyesha yy mbabe kaja na ndom ujue alipiga viwil

Ntamsamehe kwa kipi?
Tell me

Au mkewe hana papuchi
Waharumie wake zenu jaman mtawauwa kwa presha

uko vizuri dear umejieleza vizuri
 
Ningekuwa mkeo ungekoma maana ungekuta nimejianda
Nakwambia chagua kati ya
1. Fimbo ya muanzi
2. Fimbo ya mpera.
3. Waya wa pasi

Nakuchapa viboko viwili 2 kama ulivyochepuka viwili kama utarudia kuja na kondomu tena
 
Shem ICHANA umeongea kwa uchungu!Mimi na bro Mokoyo wazee wa njia kuu

Nalifahamu hilo nyie mifano ya kuigwa
Nina furaha na aman tele kila siku nawaombea baraka vizazi vyoote vya damu zetu viendeleze hii hazina ya kuwa waaminifu
karibu nyumban bro kasharud safari
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom