Wamekuban kwa muda huo waliouonesha, subiri usokate hapo huo muda ukitimia wana ku unban.Msaada tafadhali hii niliyokua natumia ni GB whatsap.nifanyeje na un-official whatsapp kwangu ndio mpango mzimaView attachment 1139284
Sijui mkuuSo suruhisho ni nn mkuu.maana me napenda sana kutumia unofficial.vip wanaweza wakanipiga ban tena.
Ukifunguliwa baadaye utapigwa ban tena.....hizo ni warnings ukikaza ubio means unatafuta permanent ban...So suruhisho ni nn mkuu.maana me napenda sana kutumia unofficial.vip wanaweza wakanipiga ban tena.
Usipuuzie hizo warnings otherwise forget about WhatsApp on that number..Wamekuban kqa muda huo waliouonesha, subiri usokate hapo huo muda ukitimia wana ku unban.
Mimi leo waliniban kwa muda wa Dakika 36.
Watakupiga tenaSo suruhisho ni nn mkuu.maana me napenda sana kutumia unofficial.vip wanaweza wakanipiga ban tena.
Wamekuban kqa muda huo waliouonesha, subiri usokate hapo huo muda ukitimia wana ku unban.
Mimi leo waliniban kwa muda wa Dakika 36.
Kesho utapigwa ban ya miaka sabini