Yamenikuta, uchawi kweli upo

Ila uongo mbaya jamaani Wali kwa mchicha ukila kwa mkono mtamu..sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mwandishi kwa kupoteza muda wako! Endelea kuamini hivyo sababu hayajakukuta!
 
Uchawi upo ila siyo wa kuamini sana inawezekana friji lako bovu tuu,, na vile vile ukitaka kufanya jambo lolote mtangulize mungu mbele mungu hajawahi kushindwa kabisa amini hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Friji bovu! Mbona mwenzako kaeleza kirefu sana kuhusu kadhia ya friji kujizima lenyewe usiku hadi kupelekea kubadilisha na kuweka jengine, lakini wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je una uhakika gani kama umeme ulikuwa uko on usiku wote?labda ulikuwa una katika wakati wa usiku.
 
Umeandika vizuri sana mkuu.. You said it all.
Halafu kama huyo mama ni Mchawi halafu kaweza kukuondoka.. kwanini asije kufungua huku Dar pembeni ya Break Point or Rose Garden ili apige hela za kutosha? Kweli nimeamini wajinga ndio waliwao.. Mwache aendee kuamini Uchawi wakati mama anapiga hela
 
Ndio maana mnakanyaga mafuta ya mwamposa kwa sababu ya imani mfu kama hizi!

Oohh nimerogwa! Akuroge nani bhana!

Haya, kakanyage mafuta upokee upako dhidi ya uchawi na majinamizi yanayoandama biashara yako!
 
Hapo simple tu,
Kuna mtu anacheza umeme usiku ukiondoka. Anapanda hata darini kama lipo ili akuzimie. One day ungelala humo uone.
 
Friji bovu! Mbona mwenzako kaeleza kirefu sana kuhusu kadhia ya friji kujizima lenyewe usiku hadi kupelekea kubadilisha na kuweka jengine, lakini wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna swala la kujizima. Ni mtu ana disconnect tu waya usiku then anarudisha alfajir. Huyo mtu aeza kua hata analipwa na huyo mama.

Alternatively angekua anatumia friji la home kwake, yaan vikibaki anaondoka navyo home, asubuhi anarudi navyo. Au zaidi basi awe ananunua kadiri ya matumizi yake, kusiwe na ziada ya kubaki ili kesho aanze fresh.
 
Unachuma dhambi bure tatizo si uchawi.Kwa Tanzania baadhi ya maeneo huwa yanapata umeme mdogo sana ikifika wakati wa jioni kwa sababu matumizi ya umeme yanaongezeka.Kwa mfano mimi ninapokaa ikifika wakati wa jioni 'voltage' huwa inasoma 150 badala ya 220-250 na hii inasababisha baadhi ya vifaa vya umeme kushindwa kufanya kazi na utatuzi wa tatizo hili ni Tanesco kufunga transformer. Vilevile hata jenerata uliloweka inawezekana lilikuwa halitoi umeme unaotosheleza kuwasha firiji.
 
Be rational bro. Itakuwa ni Wahuni tu wanakuzimia umeme mahali usiku halafu asubuhi wanaunganisha hamna uchawi hapo. Fuatilia mfumo wako wa umeme kwenye fremu. Lazima mtakuwa na common wiring somewhere.
 
Nenda kanisani kwa maombi kanisa la mchungaji katunzi njia ya mbagala stand yA shamba mi nakwambia uchawi ungekimbia nimeona kwa macho sijasimuliwa biashara zinalogwa sana hata sasa ukienda pale unarudi upya na biashara inasonga...kuna mama waliroga chapati akaja kanisani mbona alipona na wateja walirudi.
 
UMEMALIZA MKUU,HESHIMA KWAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…