kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
baada ya kuomba ushauri kama ubuntu na window 7 ni ipi bora na watu wengi kunishauri kuwa ubuntu ni bora zaidi!leo nimeweka ubuntu kwa msaada wa mtaalam lakini tatizo ni kuwa documents zangu zote nilizokuwa nimeweka kwenye disc d zimepotea na sina au sijui njia ya kuzipata na niuhimu sana jamani.tafadhali naomba mtu anaejua jinsi ya kuzipata anisadie maana sijitambui kwa hili lililonikuta na jinsi zilivyokuwa na umuhimu mkubwa kwangu.naomba sana msaada wa hili na kama kuna mtaalam anaweza nimfuate anisaidie
naahukuru sana mkuu kwa swali zuri sana,ninwpofungua window yangu ya ubuntu sioni local disc c au d zaidi ya kuona home na app nyingine kama videos,music na vingine.nimejaribu kutafuta lakini nimeshindwa pia napotaka kuangalia capasity (properties)yake haioneshi kama window 7naomba msaada tafadhali
Wakati unafanya installation uli uncheck kile kibox cha kuformat au ulikiacha kimekua checked?katika ku install ubuntu nimeweka ubuntu yenyewe na sijaweka pamoja na window nyingine ipo ubuntu tu.katika kuangalia nimeona cd/dvd drive na file system likiwa na mafile mengi kama boot,bin,cdrom na mengine.
Katika process za kuinstall kuna stage ikifika baada ya kuaallocate swap memory na sehem ya kuinstall ubuntu, baada ya hapo ndo katika maelezo kwa chini inatakiwa uancheck icho kichek box.... Ila kama una wasiwasi kua data zako zinaweza zikawa zimepotea inabidi ufanye recovery... weka windows alafu tafuta software inaitwa recuva au unaweza ukatafuta any recovery software.....wakati wa kuinstall hakuna kitu chochote kilichotikea zaidi ya kuambiwa 'available space ni gb 260"na kuendelea kuji install yenyewe
Katika process za kuinstall kuna stage ikifika baada ya kuaallocate swap memory na sehem ya kuinstall ubuntu, baada ya hapo ndo katika maelezo kwa chini inatakiwa uancheck icho kichek box.... Ila kama una wasiwasi kua data zako zinaweza zikawa zimepotea inabidi ufanye recovery... weka windows alafu tafuta software inaitwa recuva au unaweza ukatafuta any recovery software.....[/QUOTEasante sana mkuu nitaitafuta na kujaribu kuifanyia kazi
Nachoona hapo ni kama ulitumia optiona ya 'use entire partition'. Na kweli hapo yamekukuta.
Unless kama sivyo na hiyo hard disk haikuwa formated, au unallocated space.
Recovery is your option. Na by the way ni desktop ama laptop. Maana kama ni desktop, naona kama maisha yanaweza kuwa marahisi kidogo.
Nachoona hapo ni kama ulitumia optiona ya 'use entire partition'. Na kweli hapo yamekukuta.
Unless kama sivyo na hiyo hard disk haikuwa formated, au unallocated space.
Recovery is your option. Na by the way ni desktop ama laptop. Maana kama ni desktop, naona kama maisha yanaweza kuwa marahisi kidogo.
Pole sana mkuu ila tafadhali usimeme kwenye ″window ya Ubuntu″. Window ni ya Microsoft ingawa inaitwa windows.
na kweli mie ni mutoto ya mkulima ila hii kitu niliuliza humu jamii forum kati ya window 7 na ubuntu ni ipi nzuri na nikaambiwa ubuntu ni nzuri na kweli ni nzuri tena sana sema tatizo ni kupotea kwa data zangu muhimu kabisa yaani ni nimepata pigo kubwa sana kwa kupotea kwa hizo dat