NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
kwa hiyo ngomanzito=doreen?
Nina boyfriend ambae sasa tumeanza mwaka wa pili kwenye mahusiano yetu na katika haya mahusiano kutokana na huyo jamaa kuwa ni mkorofi, mtemi na anayeamua mambo yake mimi kumsikiliza tu sitakiwi kupinga na hata nikipinga halitafanyiwa kazi, katika kuanza mahusiano yetu nikatambulishwa kwa mama mkwe na jamaa always huwa anadai kwangu ndo amefika kwani amefikia umri wa kuoa ana miaka 34 sasa lakini mahusiano yangu yamekuwa ni ya mateso sana.
Jamaa yuko busy sana na friends zake na pia yuko bussy na ndugu zake tu yan mpaka nachokaga mwenyewe na always hayuko mwepesi kutamka mpenzi nimekumiss natamani kukuona labda mimi ndo niseme hivyo then acheck if possible ndo tumeet au niende kwao na yeye akiwepo, lakini mwendo ni kuangalia taarifa ya habari kwa kwenda mbele hana muda wa kuongea na mimi na kufanya mapenzi ni mpaka mwezi uandame kweli hii ni haki? Lakini mbali ya hayo yote nikawa navumilia kwa kuwa mipango yetu ni kuoana loh!
Sasa juzi kati hapa nipo nae usiku wa manane simu yake ikaita nikapokea nikakutana na binti namuuliza anasemaje anasema anamhitaji jamaa nikamuuliza ni nani yako? akasema just a friend na hapo jamaa alikuwa hapo pembeni kawa mdogo ka sisimizi.
Nikamwambia yule binti apige badae kidogo akasema poa.
Baadae nikapiga simu nilichukua namba ya yule dada na namba ya demu mwingine nikaikuta nikachukua wote alikuwa anawasiliana nao bila mimi kujijua wakati tumekaa wote.
Huyu demu wa kwanza akaniambia shosti ngoja nikwambie kitu huyo bwanako ni malaya mbwa sema tu mna mpango wa kuoana otherwise ningekwambia muachane na nakuomba tuonane nikupe list ya wanawake anaodeal nao kimapenzi ujionee miujiza tena shost ujiandae kukutana na ndoa ya matatizo mwanaume wako ni malaya aloshindikana yani dina nilisikia kufa we acha tu. Lakini yeye kama yeye akasema hana mahusiano naye.
Demu wa pili akasema yeye kama yeye ni mpenzi wake tena wana miaka mitatu na aliwah kunisikia siku nyingi akamkanya, na jamaa amekiri huyu demu wa pili kweli alikuwa nae lakini sio sasa, huyo demu kwa sasa anajing'ang'aniza kwa maelezo ya jamaa, na cha ajabu dada dina huyo dada hatambuliki popote hata familia ya jamaa na ndugu wengi wananitambua lakini ndo hivyo kumbe nina mwenzangu lakini ndg wote wamekana hawamjui huyo binti. Na huyo binti aliniomba tuonane na akaniambia yuko tayari hata kuniita akiwa na jamaa nione mwenyewe kwa macho yangu lakini ukweli nimekataa kwenda kwenye appointment walizoniomba nisije kuchomwa kisu mie.
Jamaa kwa kifupi kawakana wote kushiriki mahusiano nao.
Sasa hebu nishauri ndugu yako huyu kweli anastahili kuwa wa maisha? Mbona ananipa jakamoyo la maisha?
Kwa maana nimeshatendwa mpaka nahisi kuchanganyikiwa huyo ni mwanaume wa 4 kila nikikaribia kutambulishana nae nyumbani ukweli unajiweka hadharani mwisho wa siku namwaga manyaga naumia sana mpaka nakuja kusahau.
Hapa nilipo sili karibu mwezi sasa na pia sina furaha muda wote kwa ajili ya mawazo na nimeshindwa kujisahaulisha na japo jamaa anajidai kunipenda lakini nimeshindwa kusahau hao wanawake kichwani kwangu na maneno waliyoniambia, so please naomba mnishauri m stressed najua mmekutana na mengi so naomba tushee haya mapito may be ushauri wenu unaweza kunipa matumaini mapya kuwa nifikie maamuzi yapi.
Doreen.
jamani kweli JF samutaimu kuna mauzauza!.miujiza yako kuliko ya moses. huli mwezi na bado uko hai? huh!
miujiza yako kuliko ya moses. huli mwezi na bado uko hai? huh!
tatizo kweli kweli!enewei TWENDE KAZImpwa huyu si ndo alisema mkewe anahifadhi pedi wiki mbili??(corrrect me if am wrong) haya leo ana b.f!!
nina boyfriend ambae sasa tumeanza mwaka wa pili kwenye mahusiano yetu na katika haya mahusiano kutokana na huyo jamaa kuwa ni mkorofi, mtemi na anayeamua mambo yake mimi kumsikiliza tu sitakiwi kupinga na hata nikipinga halitafanyiwa kazi, katika kuanza mahusiano yetu nikatambulishwa kwa mama mkwe na jamaa always huwa anadai kwangu ndo amefika kwani amefikia umri wa kuoa ana miaka 34 sasa lakini mahusiano yangu yamekuwa ni ya mateso sana.
jamaa yuko busy sana na friends zake na pia yuko bussy na ndugu zake tu yan mpaka nachokaga mwenyewe na always hayuko mwepesi kutamka mpenzi nimekumiss natamani kukuona labda mimi ndo niseme hivyo then acheck if possible ndo tumeet au niende kwao na yeye akiwepo, lakini mwendo ni kuangalia taarifa ya habari kwa kwenda mbele hana muda wa kuongea na mimi na kufanya mapenzi ni mpaka mwezi uandame kweli hii ni haki? Lakini mbali ya hayo yote nikawa navumilia kwa kuwa mipango yetu ni kuoana loh!
sasa juzi kati hapa nipo nae usiku wa manane simu yake ikaita nikapokea nikakutana na binti namuuliza anasemaje anasema anamhitaji jamaa nikamuuliza ni nani yako? Akasema just a friend na hapo jamaa alikuwa hapo pembeni kawa mdogo ka sisimizi.
nikamwambia yule binti apige badae kidogo akasema poa.
baadae nikapiga simu nilichukua namba ya yule dada na namba ya demu mwingine nikaikuta nikachukua wote alikuwa anawasiliana nao bila mimi kujijua wakati tumekaa wote.
huyu demu wa kwanza akaniambia shosti ngoja nikwambie kitu huyo bwanako ni malaya mbwa sema tu mna mpango wa kuoana otherwise ningekwambia muachane na nakuomba tuonane nikupe list ya wanawake anaodeal nao kimapenzi ujionee miujiza tena shost ujiandae kukutana na ndoa ya matatizo mwanaume wako ni malaya aloshindikana yani dina nilisikia kufa we acha tu. Lakini yeye kama yeye akasema hana mahusiano naye.
demu wa pili akasema yeye kama yeye ni mpenzi wake tena wana miaka mitatu na aliwah kunisikia siku nyingi akamkanya, na jamaa amekiri huyu demu wa pili kweli alikuwa nae lakini sio sasa, huyo demu kwa sasa anajing'ang'aniza kwa maelezo ya jamaa, na cha ajabu dada dina huyo dada hatambuliki popote hata familia ya jamaa na ndugu wengi wananitambua lakini ndo hivyo kumbe nina mwenzangu lakini ndg wote wamekana hawamjui huyo binti. Na huyo binti aliniomba tuonane na akaniambia yuko tayari hata kuniita akiwa na jamaa nione mwenyewe kwa macho yangu lakini ukweli nimekataa kwenda kwenye appointment walizoniomba nisije kuchomwa kisu mie.
jamaa kwa kifupi kawakana wote kushiriki mahusiano nao.
sasa hebu nishauri ndugu yako huyu kweli anastahili kuwa wa maisha? Mbona ananipa jakamoyo la maisha?
kwa maana nimeshatendwa mpaka nahisi kuchanganyikiwa huyo ni mwanaume wa 4 kila nikikaribia kutambulishana nae nyumbani ukweli unajiweka hadharani mwisho wa siku namwaga manyaga naumia sana mpaka nakuja kusahau.
hapa nilipo sili karibu mwezi sasa na pia sina furaha muda wote kwa ajili ya mawazo na nimeshindwa kujisahaulisha na japo jamaa anajidai kunipenda lakini nimeshindwa kusahau hao wanawake kichwani kwangu na maneno waliyoniambia, so please naomba mnishauri m stressed najua mmekutana na mengi so naomba tushee haya mapito may be ushauri wenu unaweza kunipa matumaini mapya kuwa nifikie maamuzi yapi.
doreen.
Jamani ngomanzito amemkoti huyo Doreen siyo yeye (nadhani amepita kule kwa Leo tena).
We Doreen unataka ushauriwe nini sasa? kwa nini usimwache tu tena kukingali mapema? Mimi sidhani kama hata wewe unampenda kihiiivyo (labda ni hiyo ndoa uliyoahidiwa na utambulisho uliofanyiwa) kwa sababu kama unempenda kiukweli basi hayo yote unayosema ni mkorofi n.k usingeyaona yaani ungekuwa blind kwa kila kitu maana si umeamua kupenda?! Unaniudhi sasa
Make up your mind. RUN, RUN and RUN before its late
ngoma nzito...hiyo story yako inaendelea kunihakikishia kuwa nyie wanawake wa siku izi suala la kuolewa mnalipa priority sana? Hivi huwezi kuwa na jamaa kwa ajili ya kula maisha tu mpaka uolewe? Unajua stress nyingine mi naona mnajitafutia wenyewe. Hivi unategemea kuna siku utapata mwanaume wa peke yako kwamba asiwe anamega nje? Au asiwe na msururu wa mademu? Wewe kama unamuona jamaa kicheche kula kona, mbona njemba za kukupa starehe ziko kibao? Tena unakuwa huru ukiona anakuletea uzushi simple unachimba kuliko kupenda kuolewa olewa kiasi kwamba mkiparangana mnaanza vikao na mambo mengine ya kupotezeana muda...why?? Kwa niniiiiiii?? Utatafuta wa peke yako hutapata hata siku moja utaishia kufanyia maonyesho tu hiyo naniii kwa kila mtu mwisho unaonekana punch bag!!!
mimi nadhani katoa kwenye ile blog ya dinalicious au ngonolicious. Tatizo hajaweka wazi kwamba nimeicopy kule kwa dina matokeo yake kila akiweka hapa story watu wanadhani ni zake. ametoa kwa din jamani. msameheni mwenzenu.MI NADHANI UNAPOTOA STORY SEHEMU NI BORA KUKOTI UMEITOA WAPI,
maana unatuchanganya last time ulionekana kama dume, story ya leo ni bint kwisha kazi, sasa hapa tunakushauri wewe Ngoma nzito au nanni,
na huyo DINA ndani ya hiyo story ni nani?
mimi nadhani katoa kwenye ile blog ya dinalicious au ngonolicious. Tatizo hajaweka wazi kwamba nimeicopy kule kwa dina matokeo yake kila akiweka hapa story watu wanadhani ni zake. ametoa kwa din jamani. msameheni mwenzenu.
Jamaa yuko busy sana na friends zake na pia yuko bussy na ndugu zake tu yan mpaka nachokaga mwenyewe na always hayuko mwepesi kutamka mpenzi nimekumiss natamani kukuona labda mimi ndo niseme hivyo then acheck if possible ndo tumeet au niende kwao na yeye akiwepo, lakini mwendo ni kuangalia taarifa ya habari kwa kwenda mbele hana muda wa kuongea na mimi na kufanya mapenzi ni mpaka mwezi uandame kweli hii ni haki?
Doreen.