Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,553
- 35,424
uandishi huu ulinifanya niache kabisa matumizi ya FACEBOOK..ndipo nikawa najifariji na GREAT THINKERS..toka mwaka2011 mwezi wa12...lakini kuja mwaka2014 watu wamezidi kutuletea upuuzi wa FACEBOOK hapa jamani...
tatizo mazoea yakizidi ndo mambo yanakuwa hivi.