Yamenikuta mwenzenu!!

haina tatizo mbona,, km alijua hiyo kitu ni siri asingekuruhusu utoe cm iliyoko kwenye mkoba.. take it easy mkuu mi mwenyewe ninayo kibao nilipewa bure mahali
 
huyo anakujali leo mdoche vizuri sawa !!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Au alifanya kusudi kukupima joto hasira lako
 
Pigana sana, ukiona hivyo.

Bora kujiunga na wale wanaofanya mazoezi ya alishababu
nikiongea sana ndio napewa likizo karibu mwezi mzima ila kwa sasa ndio nimeeanza mazoezi ya kukimbia.
Nalog off
 
mapenzi jamani!!! unaweza kuta dada wa watu alipitatu mahali akakuta promosheni ya hzo condom wakampa nayeye. lakini issue inakuja kua jamaake atahakiki vp kua ni hivyo? mapenzi kazi sana....
 

hebu jaribu na wewe kumtegeshea condom ya kiume ndani ya mkoba wako, halafu uweke sehemu ambayo ataiona!

halafu subiri chemical reaction yake!

hapo sasa ndio mtaelezana ukweli mwisho wa siku mtakutana ANGAZA!
 
yaani we unasubiri hadi condom idondoke ndo ushtuke! mimi swala la kuja na kukimbilia bafuni fasta fasta tu ni questionable! halafu alikuruhu upokee kwakua alijua hatapigiwa na mtu wake kwakua wametoka kumalizana so she is clearing doughts,
Broo kama vile umechelewa vile...! halafu mbona hujatuambia kama ni mazoea yake kukuruhusu upokee simu?Baba ake umeliwa....
halafu beware of days ambazo gf/wife anakua so so mnyenyekevu.
 
Acha umasai banaa. Hizo kwenye workshop wanagawa tu mbona kawaida. Wewe ukienda kucheat unabeba condom kwenye wallet? Mbona mnatufanya maburula sana jamani?
 

Hahaha wahenga noma sana!
 
Acha umasai banaa. Hizo kwenye workshop wanagawa tu mbona kawaida. Wewe ukienda kucheat unabeba condom kwenye wallet? Mbona mnatufanya maburula sana jamani?

Kwa hiyo jamaa asiwe na presha kabisa..hasa kama mkewe anafanya kwenye hizi fema sijui marie stopes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…