Yamenikuta mwenzenu!!

Yamenikuta mwenzenu!!

Ingekuwa condom ya kiume tungesema ukiona manyoya kaliwa huyo!Lakini kwa kuwa ni ya kike inawezekana kabisa kwa asilimia kama 90 anayosema ni ukweli kwa sababu asilimia kubwa ya wanaume huwa hatubebi condom za kike tunabeba za kiume,anayebisha aje hapa aseme na yeye atakuwa miongoni mwa hizo asilimia chache zilizobaki!
Mpende mumeo,mtimizimie kila kitu kumpunguzia tamaa za kutoka nje!

Kwahiyo kama ni zakike walikuwa wanasagana sio.
 
Pole ndugu ndo hivyo nyingine zilishatumika na ndio maana kakimbilia bafuni kuoga Hahahaaa
 
Ni utetezi tu huo! huwezi chukuwa ki2 ambacho huna shughuli nacho!
 
mimi wewe wao wote atujui jibu analo yeye chamsingi kuwa maikini je muda wote mlio ishi pamoja kuna badiliko llote kitabia jibu utapata.
 
Back
Top Bottom