Yamenikuta mwenzenu!!

Yamenikuta mwenzenu!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Habari Zenu Wana-MMU,..

Mwenzenu leo yamenikuta juu ya huyu mpenzi wangu,..

Baada ya mpenzi wangu kurejea nyumbani kutoka katika pilikapilika za siku akanikuta nimejipumzisha kwenye sofa huku nikifuatilia taarifa ya habari BBC,.

Alipoingia akanisalimia na kisha akabadili nguo na kuingia bafuni kuoga,.

Baada ya dakika chache akiwa bafuni simu yake ikaanza kuita, nikamjulisha na yeye akaniambia niipokee kwa niaba yake na bila hiyana nikafanya hivyo, kumbe alikuwa mfanyakazi mwenzake na nikamwambia apige baada ya dakika kumi.

Wakati naichomoa simu kwenye mkoba wake mara ikadondoka pakti ya kondom ya kike,..

Hofu yangu:

Sijawahi kushiriki tendo na huyu mpenzi wangu tukiwa tunatumia hii mipira ya mapenzi,.

Sasa najiuliza alikuwa akiipeleka wapi??

Nimemuuliza kanijibu alipita mahali wakawa wanaigawa bure kwa hiyo akaamua kuichukua tu,.

Sasa bado najiuliza iweje achukue kitu ambacho hakitumii??

Labda huyu mpenzi wangu ana mtu mwingine na mimi sifahamu!!

Hebu nisaidieni wana-MMU,..
 
Huo ni mtihani mkubwa sana...lakini utulie...usiwe na papara utagundua tu...kumuuliza kwanza inatosha..ukileta papara na kupanic kama kuna something fishy ni vigumu kugundua...
 
mtihani lakini usijali sana mkuu,mimi binfsi huwa naamini waif huwa analiwa huko nje so huwa sina pressure,coz najua anawatu wake wa zamani kabla hajakutana na mimi na sijui waliachana vip,nimekuwa na mentality hii hata kabla hatujafunga ndoa,so nimejizoeza kukiona kama kitu cha kawaida sana kwangu ndo maana hakiniumizi moyo.nishajiwekea mazingira ya hata kama ikija kutokea kuwa kweli nisipanik wala kuwa na papara.mambo mengine yachukulie kama yalivyo
 
ndio njia rahisi ya uzazi wa mpango.
 
Habari Zenu Wana-MMU,..

Mwenzenu leo yamenikuta juu ya huyu mpenzi wangu,..

Baada ya mpenzi wangu kurejea nyumbani kutoka katika pilikapilika za siku akanikuta nimejipumzisha kwenye sofa huku nikifuatilia taarifa ya habari BBC,.

Alipoingia akanisalimia na kisha akabadili nguo na kuingia bafuni kuoga,.

Baada ya dakika chache akiwa bafuni simu yake ikaanza kuita, nikamjulisha na yeye akaniambia niipokee kwa niaba yake na bila hiyana nikafanya hivyo, kumbe alikuwa mfanyakazi mwenzake na nikamwambia apige baada ya dakika kumi.

Wakati naichomoa simu kwenye mkoba wake mara ikadondoka pakti ya kondom ya kike,..

Hofu yangu:

Sijawahi kushiriki tendo na huyu mpenzi wangu tukiwa tunatumia hii mipira ya mapenzi,.

Sasa najiuliza alikuwa akiipeleka wapi??

Nimemuuliza kanijibu alipita mahali wakawa wanaigawa bure kwa hiyo akaamua kuichukua tu,.

Sasa bado najiuliza iweje achukue kitu ambacho hakitumii??

Labda huyu mpenzi wangu ana mtu mwingine na mimi sifahamu!!

Hebu nisaidieni wana-MMU,..

Pole,bt mpe hongera kwa vile anajali afya yake,yako
 
Uwi hilo ni tukio ila si tukio kubwa sana we ndo unaweza ukawa unacomplicate...
Inawezekana kweli alipewa huko alikokua na lengo lilikua kujaribu,bahati mbaya kabla hamjajaribu ukaiona,ingekua ametoka kufanya mambo ya ajabu asingekuruhusu ufungue bag yake kutoa simu
Amini alichokwambia kama kuna kitu tofauti kinaendelea utajua tu.
BTW naona uniulizie jinsi inatumika af unambie eh nataka nianze kujilinda mwenyewe maana namashaka kama mim nalindwa...na wewe shukuru unalindwa
 
Nawashukuru sana wahenga kwa misemo yao na kuyarahisisha maisha wanalonga.... "Ukiona manyoya... Kashaliwa huyo yakhee.."

Ngoja niendelee kuimba song langu Unasema...utaoa lini?Bado nipo nipo kwanza...!
Mwekundu unaoa lini..bado nipo nipo bwana
"Wengine wanasema nifumbe macho nisione wakati nimeshaibiwa,wengine nizibe masikio..."
 
mbona amejielez vizuri kabisa me nimemuelewa

me nna kama wiki mbili hivi nilipita sehemu wakawa wanagawa nikachukua nimeweka ndani but huwa situmii kabisa haya madude, kilichonifanya nichukue nilioongoza nao walichukua na me nikaiga tu

so nakushauri usimfikirie tofauti
 
mtihani lakini usijali sana mkuu,mimi binfsi huwa naamini waif huwa analiwa huko nje so huwa sina pressure,coz najua anawatu wake wa zamani kabla hajakutana na mimi na sijui waliachana vip,nimekuwa na mentality hii hata kabla hatujafunga ndoa,so nimejizoeza kukiona kama kitu cha kawaida sana kwangu ndo maana hakiniumizi moyo.nishajiwekea mazingira ya hata kama ikija kutokea kuwa kweli nisipanik wala kuwa na papara.mambo mengine yachukulie kama yalivyo

Utu uzima dawa...umemaliza...

tena assume huwa anaomba atukaniwe...
 
Habari Zenu Wana-MMU,..

Mwenzenu leo yamenikuta juu ya huyu mpenzi wangu,..

Baada ya mpenzi wangu kurejea nyumbani kutoka katika pilikapilika za siku akanikuta nimejipumzisha kwenye sofa huku nikifuatilia taarifa ya habari BBC,.

Alipoingia akanisalimia na kisha akabadili nguo na kuingia bafuni kuoga,.

Baada ya dakika chache akiwa bafuni simu yake ikaanza kuita, nikamjulisha na yeye akaniambia niipokee kwa niaba yake na bila hiyana nikafanya hivyo, kumbe alikuwa mfanyakazi mwenzake na nikamwambia apige baada ya dakika kumi.

Wakati naichomoa simu kwenye mkoba wake mara ikadondoka pakti ya kondom ya kike,..

Hofu yangu:

Sijawahi kushiriki tendo na huyu mpenzi wangu tukiwa tunatumia hii mipira ya mapenzi,.

Sasa najiuliza alikuwa akiipeleka wapi??

Nimemuuliza kanijibu alipita mahali wakawa wanaigawa bure kwa hiyo akaamua kuichukua tu,.

Sasa bado najiuliza iweje achukue kitu ambacho hakitumii??

Labda huyu mpenzi wangu ana mtu mwingine na mimi sifahamu!!

Hebu nisaidieni wana-MMU,..

mmhh! Ukiona manyoya-!
 
JF bana ..mtu yupo serious watu wanaleta utani.... alafu pia hutu mbona watu mnaigana sana ...akishapost mtu kitu cha utani...basi wote wanamwiga...lakini ndo vijana wa kibongo kuigana igana kusikokua na msingi...ujinga tu
 
Ingekuwa condom ya kiume tungesema ukiona manyoya kaliwa huyo!Lakini kwa kuwa ni ya kike inawezekana kabisa kwa asilimia kama 90 anayosema ni ukweli kwa sababu asilimia kubwa ya wanaume huwa hatubebi condom za kike tunabeba za kiume,anayebisha aje hapa aseme na yeye atakuwa miongoni mwa hizo asilimia chache zilizobaki!
Mpende mumeo,mtimizimie kila kitu kumpunguzia tamaa za kutoka nje!
 
  • Thanks
Reactions: Luv
...sikushauri uchukue za kiume hatakama wanagawa bure,ila usijiulize hiyo mipira ya mumeo ilikuwa bahati mbaya ila mke mwema humlinda mume wake,na kila anapoharibu mwanaume nyumayake kuna mwanamke...
 
Back
Top Bottom