Yamenikuta,msaada

Yamenikuta,msaada

Kusini kuchele

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
121
Reaction score
687
YAMENIKUTA; MCHEPUKO umeniloga siwezi kufanya Mapenzi na Mke wangu na sasa umeolewa!

Naomba unisaidie kupost maana nahisi kuchanganyikiwa. Ninasoma comments labda nitakutana na suluhu nitakuwa sawa. Mimi ni baba wa mtoto mmoja, nimeoa ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Kipindi cha nyuma kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mama ambaye alikuwa na watoto wake wawili na alikuwa kaachana na mume wake. Basi nilipoanza naye mahusiano nilijikuta nimevutiwa naye, nilichokuwa nikimpendea alikuwa ni mtu wa kunishauri sana mambo ya maisha, akili yake ilikomaa hivyo nikaanza kumuona kama ndiyo dira yangu.

Nikaanza kumdharau mke wangu, nikawa namt*ukana bila sababu. Nilikuwa naongea na huyo mwanamke mbele ya mke wangu, nikamfanyia vituko na malengo yalikuwa ni mke wangu kuondoka. Tayari tulikuwa na nyumba na huyo mwanamke alinambia kuwa nikimfanyia vituko aombe talaka yeye basi nyumba itakuwa yangu ila nikitaka kumfukuza anaweza kuambiwa abaki na mtoto kwenye nyumba yangu.

Nilifanya vituko vingi lakini mke wangu hakuondoka. Nilikuwa nikimuonyesha mpaka video za uchi nikiwa nafanya mapenzi na huyo dada ila alivumilia. Mke wangu ni mtu wa maombi sana na mara nyingi aliniambia kuwa huyo mwanamke si mtu mzuri ila nilikataa. Niliacha kuhudumia familia na ilikuwa kama nimeitelekeza, kila nikipata pesa ni kwa huyo mwanamke. Tulipata mtoto mmoja na mchepuko, mapenzi ndiyo yakazidi lakini pamoja na kumjua ila mke wangu hakuondoka.

Nilikuwa kama nimehama kwangu niakawa nakuja mara moja moja, ila kuna wakati nikifanya mapenzi na mke wangu ishu haifanyi kazi, nikirudi kwa huyu mchepuko niko vizuri. Nilishtuka nikahisi mke wangu ndiye kaniloga, nikaenda kwingine kwa mchepuko mwingine nikakuta hola. Yaani naweza kufanya mapenzi na huyo mwanamke tu. Ilinichanganya sana kiasi kwamba nikaongeza hasira kwa mke wangu.

Mwaka jana huyu mwanamke alibadilika, kuja kushtuka kumbe alipata mwanaume mwingine. Si mume wa mtu bali kafiwa na mke wake, wakafunga ndoa ya serikali kimya kimya bila kuniambia, kisha ndiyo nikasikia hanitaki. Akanimbia si umekataa kumuacha mke wako, ulitegemea nini kaniacha kaolewa na mwanangu. Nikawa sina namna ya kurudi kwa mke wangu, lakini mpaka leo siwezi kumgusa mke wangu, tunalala kama kaka na dada, hata sisisimkwi siwezi kufanya mapenzi tena. Mbaya zaidi ni kwamba huko nje nanunua mpaka malaya siwezi kitu. Kwakweli nimechanganyikiwa.

Nimehangaika sana kwa wataalamu, maombi mpaka basi sijui cha kufanya. Nikimtafuta yule mwanamke anakana na kunambia hajafanya chochote, ni mke wangu au malaya wengine ambao nimekuwa nao, hataki kuonana na mimi. Ana furaha na mume wake, yaani imekuwa shida. Nisaidieni nifanye nini kurudisha hali yangu?
 
Umevuna ulichopanda

giphy.gif
 
nenda kwa Mtume Mwamposa
 
Sijui kwanini sisi wanaume tunalongwa hivi eh Mungu utuepushe na haya, Kaa chini na uongee na mke wako muanze kujenga tena, Mhubiri 4:9-10
9 Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.

10 Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwin
ua!
 
YAMENIKUTA; MCHEPUKO umeniloga siwezi kufanya Mapenzi na Mke wangu na sasa umeolewa!

Naomba unisaidie kupost maana nahisi kuchanganyikiwa. Ninasoma comments labda nitakutana na suluhu nitakuwa sawa. Mimi ni baba wa mtoto mmoja, nimeoa ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Kipindi cha nyuma kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mama ambaye alikuwa na watoto wake wawili na alikuwa kaachana na mume wake. Basi nilipoanza naye mahusiano nilijikuta nimevutiwa naye, nilichokuwa nikimpendea alikuwa ni mtu wa kunishauri sana mambo ya maisha, akili yake ilikomaa hivyo nikaanza kumuona kama ndiyo dira yangu.

Nikaanza kumdharau mke wangu, nikawa namt*ukana bila sababu. Nilikuwa naongea na huyo mwanamke mbele ya mke wangu, nikamfanyia vituko na malengo yalikuwa ni mke wangu kuondoka. Tayari tulikuwa na nyumba na huyo mwanamke alinambia kuwa nikimfanyia vituko aombe talaka yeye basi nyumba itakuwa yangu ila nikitaka kumfukuza anaweza kuambiwa abaki na mtoto kwenye nyumba yangu.

Nilifanya vituko vingi lakini mke wangu hakuondoka. Nilikuwa nikimuonyesha mpaka video za uchi nikiwa nafanya mapenzi na huyo dada ila alivumilia. Mke wangu ni mtu wa maombi sana na mara nyingi aliniambia kuwa huyo mwanamke si mtu mzuri ila nilikataa. Niliacha kuhudumia familia na ilikuwa kama nimeitelekeza, kila nikipata pesa ni kwa huyo mwanamke. Tulipata mtoto mmoja na mchepuko, mapenzi ndiyo yakazidi lakini pamoja na kumjua ila mke wangu hakuondoka.

Nilikuwa kama nimehama kwangu niakawa nakuja mara moja moja, ila kuna wakati nikifanya mapenzi na mke wangu ishu haifanyi kazi, nikirudi kwa huyu mchepuko niko vizuri. Nilishtuka nikahisi mke wangu ndiye kaniloga, nikaenda kwingine kwa mchepuko mwingine nikakuta hola. Yaani naweza kufanya mapenzi na huyo mwanamke tu. Ilinichanganya sana kiasi kwamba nikaongeza hasira kwa mke wangu.

Mwaka jana huyu mwanamke alibadilika, kuja kushtuka kumbe alipata mwanaume mwingine. Si mume wa mtu bali kafiwa na mke wake, wakafunga ndoa ya serikali kimya kimya bila kuniambia, kisha ndiyo nikasikia hanitaki. Akanimbia si umekataa kumuacha mke wako, ulitegemea nini kaniacha kaolewa na mwanangu. Nikawa sina namna ya kurudi kwa mke wangu, lakini mpaka leo siwezi kumgusa mke wangu, tunalala kama kaka na dada, hata sisisimkwi siwezi kufanya mapenzi tena. Mbaya zaidi ni kwamba huko nje nanunua mpaka malaya siwezi kitu. Kwakweli nimechanganyikiwa.

Nimehangaika sana kwa wataalamu, maombi mpaka basi sijui cha kufanya. Nikimtafuta yule mwanamke anakana na kunambia hajafanya chochote, ni mke wangu au malaya wengine ambao nimekuwa nao, hataki kuonana na mimi. Ana furaha na mume wake, yaani imekuwa shida. Nisaidieni nifanye nini kurudisha hali yangu?
Wagalatia 6:7-8
 
Naweza tatua tatizo lako ila nahitaji hela namtaalamu wa uhakika anakusafisha nakukupa dawa ila unatakiwa uende na mkeo
 
Simle

Nimehangaika sana kwa wataalamu, maombi mpaka basi sijui cha kufanya. Nikimtafuta yule mwanamke anakana na kunambia hajafanya chochote, ni mke wangu au malaya wengine ambao nimekuwa nao, hataki kuonana na mimi. Ana furaha na mume wake, yaani imekuwa shida.

YAMENIKUTA; MCHEPUKO umeniloga siwezi kufanya Mapenzi na Mke wangu na sasa umeolewa!

Naomba unisaidie kupost maana nahisi kuchanganyikiwa. Ninasoma comments labda nitakutana na suluhu nitakuwa sawa. Mimi ni baba wa mtoto mmoja, nimeoa ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Kipindi cha nyuma kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mama ambaye alikuwa na watoto wake wawili na alikuwa kaachana na mume wake. Basi nilipoanza naye mahusiano nilijikuta nimevutiwa naye, nilichokuwa nikimpendea alikuwa ni mtu wa kunishauri sana mambo ya maisha, akili yake ilikomaa hivyo nikaanza kumuona kama ndiyo dira yangu.

Nikaanza kumdharau mke wangu, nikawa namt*ukana bila sababu. Nilikuwa naongea na huyo mwanamke mbele ya mke wangu, nikamfanyia vituko na malengo yalikuwa ni mke wangu kuondoka. Tayari tulikuwa na nyumba na huyo mwanamke alinambia kuwa nikimfanyia vituko aombe talaka yeye basi nyumba itakuwa yangu ila nikitaka kumfukuza anaweza kuambiwa abaki na mtoto kwenye nyumba yangu.

Nilifanya vituko vingi lakini mke wangu hakuondoka. Nilikuwa nikimuonyesha mpaka video za uchi nikiwa nafanya mapenzi na huyo dada ila alivumilia. Mke wangu ni mtu wa maombi sana na mara nyingi aliniambia kuwa huyo mwanamke si mtu mzuri ila nilikataa. Niliacha kuhudumia familia na ilikuwa kama nimeitelekeza, kila nikipata pesa ni kwa huyo mwanamke. Tulipata mtoto mmoja na mchepuko, mapenzi ndiyo yakazidi lakini pamoja na kumjua ila mke wangu hakuondoka.

Nilikuwa kama nimehama kwangu niakawa nakuja mara moja moja, ila kuna wakati nikifanya mapenzi na mke wangu ishu haifanyi kazi, nikirudi kwa huyu mchepuko niko vizuri. Nilishtuka nikahisi mke wangu ndiye kaniloga, nikaenda kwingine kwa mchepuko mwingine nikakuta hola. Yaani naweza kufanya mapenzi na huyo mwanamke tu. Ilinichanganya sana kiasi kwamba nikaongeza hasira kwa mke wangu.

Mwaka jana huyu mwanamke alibadilika, kuja kushtuka kumbe alipata mwanaume mwingine. Si mume wa mtu bali kafiwa na mke wake, wakafunga ndoa ya serikali kimya kimya bila kuniambia, kisha ndiyo nikasikia hanitaki. Akanimbia si umekataa kumuacha mke wako, ulitegemea nini kaniacha kaolewa na mwanangu. Nikawa sina namna ya kurudi kwa mke wangu, lakini mpaka leo siwezi kumgusa mke wangu, tunalala kama kaka na dada, hata sisisimkwi siwezi kufanya mapenzi tena. Mbaya zaidi ni kwamba huko nje nanunua mpaka malaya siwezi kitu. Kwakweli nimechanganyikiwa.

Nimehangaika sana kwa wataalamu, maombi mpaka basi sijui cha kufanya. Nikimtafuta yule mwanamke anakana na kunambia hajafanya chochote, ni mke wangu au malaya wengine ambao nimekuwa nao, hataki kuonana na mimi. Ana furaha na mume wake, yaani imekuwa shida. Nisaidieni nifanye nini kurudisha hali yangu?
Kama ni kweli hilo tatizo lilinikuta pole sana,fanya yafuatayo kwanza muombe msamahaa mke wako,halafu nenda Kawe kwa Mwamposa ukaombewe na utakunywa mafuta na kunywa maji ya upako na kuoga tatizo lako litakwisha siku hiyohiyo
 
Back
Top Bottom