kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,025
- 15,810
- Thread starter
- #21
shetani aliongeza nguvu kwenye lile pigo maana kabla ya hapo sikumpiga kwa nguvu na tulikua hatua za mwisho mwisho katika kuwekana sawa kisaikolojiaShetani anaingiaje kwenye kufeli kwako?.
Mkuu, acha kuangalia series za kikorea.
Ona sasa...