Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Dah....mzee baba pole.....Dah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
Hahahaha pole sana mkuuDah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
Ahhaahhaahah uwiii ,,,mpenzi wangu simsumbui ye ndio hunipigoa mara nyingi kuzidi hata mimi,uzuri hajaajiriwa so tunaongea muda wowote akitaka na wala sio usumbufu kwake,,,Nilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi
Ulikua ushaogaAhhaahhaahah uwiii ,,,mpenzi wangu simsumbui ye ndio hunipigoa mara nyingi kuzidi hata mimi,uzuri hajaajiriwa so tunaongea muda wowote akitaka na wala sio usumbufu kwake,,,
Napenda movie za mapigano
taulo nimkubwa ila tu nilichanganyikiwa nikaona linanibana.
Baila naupenda mnoo
Sasa bafuni utakaaje na nguo jamani
akikujibu nitagNilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi
Ashanijbu mkuu irumbaakikujibu nitag
Ukisikia near death experience ndio ile maana nilipiga kelele hakuna aliyesikia,mle joto kali mixer hewa nzito nilikua 2011 nimeandika kwa diary yanguDah....mzee baba pole.....
yes nimeona ila kachapia badala ya kuandika "hunipigia" kaandika "hunipigoa" nadhani ulimwelewaAshanijbu mkuu irumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duu!aise mkuu km nakuona vile ulivyokua unapiga mateke mlango huku ukiwa km ulivyozaliwa,pole san mkuu
Angewauwa tu maana angekua hamna pa Ku exit angewapiga hata sinkBora umetoka salama maana sipati picha mlango umejifunga hivyo afu humo bafuni akatokea mjusi,mende au panya nadhani leo usingeweza kuandika hapa
Hahahahahahaha pole sana nacheka kama mazuri,,nilichukua ile mop ya kudekia nikaangalia hapo juu kwenye dari nikajisemea naweza kutana na nyoka hukp au nikaumwa na nge bure ,,umenichekesha kumbe we mwenzangu ulikaa sanaDah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
Nilikuwa nishaoga ulivyofunguka nishalowana jasho nikaoga tena nilikuwaza hadi wewe baba swaleheUlikua ushaoga
Maana madem kwa kuogopa hao waduduAngewauwa tu maana angekua hamna pa Ku exit angewapiga hata sink