Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu

Sawa mkuu. Ndio maana nilianza kwa kusema "mimi ningekua ni wewe...." bahati nzuri mimi sio wewe, we endelea tu mkuu. Kila la kheri
nashukuru sana kwa ushauri wako Mkuu,good advice
 
Huyu manzi haeleweki hata kidogo na sijajua ulokole wa aina gani ,mkimpigia simu muda mwingi sanasana mchana hapokei ,ukimpigia usiku anapokea ,na ukikaa siku tatu bila kumpigia simu anamind mbona hujanipigia ,kwa usiku mnaweza kuongea kwenye simu mpaka saa 6 ,pia ukikaa nae ikiingia msg kwako anataka achungulie ni msg ya nani ,ukimshika kutaka papachu vita yake ni hatari mtupu
 
Nakumbuka kaka yangu kipindi anataka kumuoa mkewe ambae saiz ndo yuko nae... Demu alikuwa muislam, kaka kkkt.. Sasa demu akawa anakaza hataki kubadili dini.. Eti kaka amfuate.. Mama akamwambia yule demu kama unataka mwanangu akufuate dini mtolee mahari ili ummiliki... Kama huwezi lala mbele au ubadili dini... Demu aligoma.. Ila mama nakumbuka alimpa mbinu bro kuwa ampige mimba kisha alazimishe demu amfuate.. Na akawin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀 mama yenu konki sana nimemkubali.
 
Anaseme hataki wa kubadili dini Leo anamtaka wa mojakwa moja yani alishakuwa kwenye dini yao kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka mimi ni mwanamke ninakwambia ukweli kabisa kaka yangu! Huyo hakupendi nimepitia replies zote za kwako nikawa kuna vitu nachanbua nakwambia tu ukweli hakupendi kaka yangu! Piga moyo konde muache mapema atakuja kukutesa mbele!

Yangu ni hayo.
 
Yaani nimeanza kusoma tangia mwanzo mpaka mwisho...huyo dada haupo moyoni mwake kabisa yaani it seems km kakuweka reserve hv ndio maana dizaini km anakuaktia sababu ameshajua your in to her! As a girl mwanaume unaempenda hata akupe nini huwa haucriticize sasa mdada wa miaka 31 unampa chupi eti anahoji ina maana asichoelewa nini? Anajikuta anaplay smart wakati mshamba tu! Kaka usiposhtuka mapema utapata tabu mno omba Mungu sana
 
Walokole na Katoliki tofauti kbsaaaa, wala usiendelee kupoteza muda wako maana utakuja kujuta sn huko mbeleni
 
Sang'udi, mkuu ushauri wako n mzuri ila ndoa haina bargain kias hicho kwamba mpk kuwekeana torati,naina kesho yao ikiwa ngumu endapo wataingiza mambo ya kufanya agreement,akikataa kukubaliana nami aondoke tu,hawa watu huko ulokolen wanawaamin pastor zaid ya waume zao
 
TAFUTA WA DINI YAKO. HUYO HATA UKIMSHAWISHI BADO NDOA HAITAKUWA NA AMANI. MAFUNDISHO YA KILOKOLE NA KIROMANI NI MAFUTA NA MAJI.

KWANI HUKO RC HAMNA WANAWAKE HADI ULAZIMISHE KUOA ASIYEKUTAKA?

Back
Top Bottom