YAMENIKUTA ATM ZA NMB nifanyeje

YAMENIKUTA ATM ZA NMB nifanyeje

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Npo hapa mlimani chuo kwenye atm za nmb nilikuwa nikitoa pesa kwa pesa fasta cha kushangaza ni umeme kukatika wakati uduma inamalizikia na peza zilikuwa bado asjatoka msahada wakuu
 
Kama kuna yeyote anaejua bahada ya umeme kurudi ni nn kitokea hile pesa itatoka au huduma itasimamishwa?
 
pole sana mkuu, ila cha kufanya kesho siku ya kazi wahi mapema katika tawi la benki husika ukawakilishe hilo tatizo lako
 
umeme umerudi wametoa blank receipt which means pesa bado ipo kijana
 
ucjal hudma ilikua bdo haija malzka so pesa ako ipo subil umeme ulud na ukatoe
 
angalia salio kwanza halafu nenda tawi la nmb
 
ATM zimeunganishwa na UPS/backup hivyo huwa ni suala la muda mfupi.labda kama ni network problem
hata hivyo net ikikata system itatoa catd na kukuambia muamala haukukamilika
 
Npo hapa mlimani chuo kwenye atm za nmb nilikuwa nikitoa pesa kwa pesa fasta cha kushangaza ni umeme kukatika wakati uduma inamalizikia na peza zilikuwa bado asjatoka msahada wakuu

hakuna mashime ya dharura? kama hazijatoka, basi usihofu, kuna kipindi unakuta kabisa inahesabu na unapewa rist lakini pesa hakuna, ukihama hapo ukaenda sehemu nyingine unakuta balance yako haijapungua kitu
 
Back
Top Bottom