Azam twoUnaangalia TV gani sasa?
AiseeKwa kingereza kibovu ulichoandika hapa, "you won't gonna meet her boy"
Unaangalia TV gani sasa?
MUNGU mkubwaPopote ulipo mama ,heshima yakoView attachment 827494
Sentesi imekamikika but horrible grammar! You can meet her but you can not meet with her. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahah mkuu sio kibovu hicho ,sentesi inaujumbe tosha[emoji1]
Nimejaribu kuangalia sentensi yoyote inayomaanisha "Yamekukuta" sijaona aiseeHabari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea huwa najisikia raha sana ,sauti yake inanikosha vilivyo ,I wish one day I gone meet with her japo nimshike mkono ,Dada popote ulipo heshima yako sana,I salute you
Mke wa mtu huyo shauri yako
Zuhura ni kwwli aisee,ila baby ksbaye mhhHata mimi katika watangazaji wakike ninamkubali sana pamoja na beby kabaye wa clouds 360,zuhura yunus wa Dira ya dunia
Mali ya watu inaliwa na watu!Mke wa mtu huyo shauri yako