Sasa picha iko wapi mi mwenyewe simjui kwani yukojeHabari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea huwa najisikia raha sana ,sauti yake inanikosha vilivyo ,I wish one day I gone meet with her japo nimshike mkono ,Dada popote ulipo heshima yako sana,I salute you
Mbona wake za watu wantoa show kirafiki tuMke wa mtu huyo shauri yako
Kwa kingereza kibovu ulichoandika hapa, "you won't gonna meet her boy"Habari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea huwa najisikia raha sana ,sauti yake inanikosha vilivyo ,I wish one day I gone meet with her japo nimshike mkono ,Dada popote ulipo heshima yako sana,I salute you