Yamenikumba....

Munkari hahahaha usifanye mchezo.kumbe tukiwa tumelala kwenye daladala ile alfajiri wenzetu wanatucheka na ma white vog yao kumbe rahisi tu ukienda morogoro na wewe wapata.tena nauli buku sita tu.
 
Haahaahaahaa! Aiseee nkucheke kwanza! Tehtehteh! Mana umeyataka ungekaa ukakituliza hicho kisukumio chako kwa mkeo ungekufa? Na aendelee kabisa kuna siku atakwambia utembee uchi hadi kwa mkeo na utatembea! Alaah!
 
Munkari hahahaha usifanye mchezo.kumbe tukiwa tumelala kwenye daladala ile alfajiri wenzetu wanatucheka na ma white vog yao kumbe rahisi tu ukienda morogoro na wewe wapata.tena nauli buku sita tu.
Kwa kulala kwenye Daladala maana yake we wala hukai karibu na posta... lazima utakuwa unavuka vile vibao maarufu visemavyo... SASA UNAINGIA MKOA WA PWANI, KWAHERI DAR ES SALAAM (Hii ni jioni unaporudi), au..... sasa unaingia mkoa wa dar es salaam, kwa heri mkoa wa PWANI (Hii unapokwenda kazini asubuhi)...

Hayo yote ni eidha direction ya Bagamoyo, Lindi, Kisarawe, Kigamboni au Kibamba
 
KUCHAMBACHAMBA kwingi mwisho hukamata MAVI. Ndio haya yaliyokukuta.
 
Reactions: awp

bro nina nia ya dhati kabisa ya kukusaidia,NILETEE PEDI AMBAYO KAISHAITUMIA,ATAKIMBIA MWENYEWE MMMM MMMAMMMAE
 
Haahaahaahaa! Aiseee nkucheke kwanza! Tehtehteh! Mana umeyataka ungekaa ukakituliza hicho kisukumio chako kwa mkeo ungekufa? Na aendelee kabisa kuna siku atakwambia utembee uchi hadi kwa mkeo na utatembea! Alaah!
Boflo achezea kukamuliwa shahawa, naona zilijaa la kondom. sijui alimiminia kwenye kikombe
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaa. Duh! Usisumbuke Jembe! Mbona dawa umeshaipata, usitakekupoteza hela zako kwa mara nyengine teynaaa!
Kwa vile umelitambua hilo, ni dawa tosha! Embu kumbuka kirikuu aliambiwaje na babu yake "...utambuzi siku zote humtoa mtu kizani...."!
Akija mvalie sura ya mbuzi!
 
:smile-big:mi nilidhani atajipandikiza nazo apate ujauzito kumbe kaenda kukupiga juju....
 
Duh! Huyo wa kumkwepa tu, jitahidi sana usikutane nae, jinsi siku zinavyozidi kuyoyoma, na nguvu za Sangoma zitapungua...

Home
 
Mungu anahitaji umjue yeye............sali sana juu ya hilo.Usiende kwa mganga na wewe!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…