Yamemkuta

That man is sick..l
hivi hiyo ni sababu tosha ya kumfukuza mke? Kwanin kama ye anajua asimsaidie mwenzie?
Ukute hata chai anakaanga majani kwanza huyo baba!!
If i was that man..ningemkalisha mke wangu namtafutia mtu(huyo huyo mama Rose amfundishe)/nampeleka shule akasomee,namnunulia vitabu vya kujifunza,dvd's za mapishi..yani atajua tuu na mapenzi yataongezeka.
 
yani kutokujua kupika ndio amrudishe
mtt wa watu kwao?wengine wamekua hata chombo
hajui kuosha,alipaswa aende nae taratibu ikibidi amfundishe!!!
Ni kweli adhabu hailingani na kosa lenyewe lakini ukweli ni huu huyo mwanamke naye alitakiwa kujifunza kupika na labda kilichomponza zaidi ni uvivu.
 
Huyo mwanamke mjinga kabisa,siku zote ambazo alikuwa anapikiwa na jirani ndio zilikuwa siku nzuri za kujifunza,mume amefanya jambo la maana maana kama mtoto wa kike anatoka kwao hajui kazi muhimu ambazo zinaifanya ndoa idumu basi ni sharti arudi kwao wazazi wake wakamfundishe maana kuwa na mke ndani asiyejua kupika ni aibu kwa jamii na ni janga kwa familia.
 
Ni kweli adhabu hailingani na kosa lenyewe lakini ukweli ni huu huyo mwanamke naye alitakiwa kujifunza kupika na labda kilichomponza zaidi ni uvivu.

bidada nae hakutumia akili
badala ya kupikiwa daily
alitakiwa amuombe huyo jirani
amfundishe kupika kitu anachohitaji!!bongo lala kabisa!!
 
kaaz kwelikweli..ila ata kwenye kitchen party mambo ya kupika huongelewa..sema msisitizo uko kwa hayo mambo mengne ss
 
Last edited by a moderator:
mbona wapo wengi wa dizaini hiyo na wengine hupikiwa na housegirl! wala mwanamke haingii jikoni kumpikia mumewe,lakini sio kitu kizuri kwa mwanamke aliyeolewa kwamba hawezi kumpikia mumewe
 
acha kushadadia mambo
ya ndoa za watu,baki na shushari wako
khaaaa babu we nitue!!hajanifikia hata robo
na kwa taarifa yako loya alikulenga wewe ulivyokua unahangaika
kutafuta nyumba ndogo hahahaaaaa!!

ha ha ha ha..sasa ulikuwa unahangaika nini kumwambia afute kauli? du..lipo kwako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…